God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
za leo ndugu
zantel wanakupa modem mpya ina 21Mbs kama downlink na 5.7Mbs kama uplink speed bado sijaanza kuzitumia so nauliza wenye uzoefu waniambie zikoje? speed yake
pia tatizo langu ni warrat mimi hawaniandikia modem yenyewe ni d link model ni dwm 157 ina had h+.
upande wa warrant sijawaelewa ni mda gani maana hawajaandika ila version nYingine
wameweka.
software warant ni 90days inaingia mpya hardware sijaelewa kabisa.