mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Wajuzi naomba msaada wa kuifanya Play store iweze kudownload kama kawaida.Play store imekuwa ikiandika download pending.
NiceOne this will helpKutakuwa kuna apps znajidownload, Nenda kwenye my apps, then installed app angalia km kuna app znajidownload zistopishe then anza upya kudownload, au km ikishindikana clear data na cache.