sammgeni Member Aug 23, 2013 50 4 Jun 28, 2016 #1 Android gani ya cheap price ambayo ina camera walau nzuri kukalibia au kufikia iphone??
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,339 41,680 Jun 28, 2016 #3 cheap price ndio ipi na hio iphone nayo ni ipi?
sammgeni Member Aug 23, 2013 50 4 Jun 28, 2016 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: cheap price ndio ipi na hio iphone nayo ni ipi? Click to expand... Iphone 5,5s Cheap price less than 350000
Chief-Mkwawa said: cheap price ndio ipi na hio iphone nayo ni ipi? Click to expand... Iphone 5,5s Cheap price less than 350000
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,339 41,680 Jun 28, 2016 #5 sammgeni said: Iphone 5,5s Cheap price less than 350000 Click to expand... flagship za mwaka 2013/2014 zinacompete/kuzipita hizo iphone, simu kama -lg g2 -galaxy note 3 -xperia z2 -galaxy s5 -lg g3 -htc m7 na m8 hizo zote used au mpya unaweza pata kwa bei hio.
sammgeni said: Iphone 5,5s Cheap price less than 350000 Click to expand... flagship za mwaka 2013/2014 zinacompete/kuzipita hizo iphone, simu kama -lg g2 -galaxy note 3 -xperia z2 -galaxy s5 -lg g3 -htc m7 na m8 hizo zote used au mpya unaweza pata kwa bei hio.
sammgeni Member Aug 23, 2013 50 4 Jun 29, 2016 Thread starter #6 Chief-Mkwawa said: flagship za mwaka 2013/2014 zinacompete/kuzipita hizo iphone, simu kama -lg g2 -galaxy note 3 -xperia z2 -galaxy s5 -lg g3 -htc m7 na m8 hizo zote used au mpya unaweza pata kwa bei hio. Click to expand... Asante mkuu
Chief-Mkwawa said: flagship za mwaka 2013/2014 zinacompete/kuzipita hizo iphone, simu kama -lg g2 -galaxy note 3 -xperia z2 -galaxy s5 -lg g3 -htc m7 na m8 hizo zote used au mpya unaweza pata kwa bei hio. Click to expand... Asante mkuu