Habari wana jamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kuchat snapchat maana nimejiunga naishia kupiga picha na kubadili picha kwenye profile tu mfano nataka nikasome page ya mtu mfano ya wema...
Hello wataalamu,
Naombeni msaada wa maelezo ya kitaalamu kuhusu mtu kuweza kupiga simu ya dharura katika hali zifuatazo:
1. Kuwa nje ya mtandao (No network coverage)
2. Simu ikiwa imefungwa kwa...
Hasa kwa wenye simu za Android au
touchscreen.
Ukiona applications zinakuja na kupotea au simu ipo slow ujue tatizo ni sd card.
Tuwe makini kuepuka sd card za kichina
Shalom na Ramadhan Kareem waungwana. nina maswali mawili kuhusu betri ya laptop, ninawaombeni msaada/ushauri; 1. nina laptop model ya zamani toshiba equium ambayo baada ya kuitumia kwa muda mrefu...
Wakuu, nina page yangu fb, ninataka niipromote iwe na Like nyingi kwa kutumia fb sponsored Ad. Nina pata shida jinsi ya kulipia. Nina akaunti crdb je hiyo inaweza tumika kulipia?
Asante kwa msaada
Bluetooth 5: everything you need to know
By David Nield a month ago Networking
Faster, stronger, better
The group in charge of Bluetooth development has announced that the 5...
"More than 10 millions android devices have been infected by Chinese malware" so according to many reports "avoid click on popups" because can lead to breach of your online banks A/c. #This news...
Habar za jion wakuu, nimekuwa nikipata tabu sana katika kucheza video na audio nnazo tumiwa kupitia WhatsApp,hii inatokana na simu nnayo tumia, Iphone. Je hakuna application nayo weza ku Install...
Msaada nina tablet tajwa hapo juu huwa wakati mwinyine inanizuia kufanya chochoye pale inapoanza kufungua fungua na kufunika funika mafile, na hata hunikatia simu wakati naongea bila mimi...
Heri wakuu.
Aise, naomba mtu mwenye application ya kutengeneza Passport size anijuze. Kupitia Photoshop huwa mlolongo mlefu, na software nazoziona mtandaoni ni trial tu. Kama kuna mtu aajuae...
Habari za kufurahisha na kusisimua katika ulimwengu wa teknolojia ni kuwa sasa hakuna haja tena ya kutumia WhatsApp wala Telegram kwani sasa tuna App yetu tuliyoipa jina la POA APP.
Hii ni zaidi...
naomba msaada wa application ya android ambayo naweza kuinstall na kutumia whatsapp messenger katika pc ya window 7 mbali na bluestacks.msaada wakuu anaefahamu pleaz
Naomba msaada simu yangu ni sumsung galaxy note 2 toka jana imeandika emergency call only ila internet inafanya kazi kama kawaida kwa line ya tigo pekee,, line nyingne zote zinafanya kazi ispokua...
Kama unatumia tecno c8 na bado hujafanya update ya android 6.0 (Marshmallow) with HiOS ingia kwenye link hii na ufuata maelekezo.
Yapo kwa kiswahili ukikwama uliza utajibiwa.
[OFFICIAL VERSION]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.