Heri wakuu.
Aise, naomba mtu mwenye application ya kutengeneza Passport size anijuze. Kupitia Photoshop huwa mlolongo mlefu, na software nazoziona mtandaoni ni trial tu. Kama kuna mtu aajuae naomba anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.