Naomba kufahamu mambo ya kuzingatia nikitaka kununua laptop


B

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Messages
271
Likes
42
Points
45
B

bonem

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2015
271 42 45
Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,314
Likes
9,115
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,314 9,115 280
vitu vya kuangalia kwenye laptop ni vingi una budget kiasi gani? unataka kufanyia mambo gani?
 
B

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Messages
271
Likes
42
Points
45
B

bonem

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2015
271 42 45
Kwa matumizi yangu binafsi tu. Bajeti ya kama laki nne hivi
 
fredymkanza

fredymkanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Messages
286
Likes
148
Points
60
Age
41
fredymkanza

fredymkanza

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2016
286 148 60
Proccesor
Hard disk
Ram
Aina ya laptop
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,314
Likes
9,115
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,314 9,115 280
hupati mpya kwa laki nne hapo labda used
 
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,089
Likes
562
Points
280
Age
19
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,089 562 280
Naomba mnisaidie jamani mambo gani niangalie nikienda kununua laptop nisije kuuziwa kopo aise. Wataalamu fanyeni jambo tafadhali maana naenda kununua kesho tu
Aina ya laptop
Processor
Ram
Hard disk
 

Forum statistics

Threads 1,238,902
Members 476,226
Posts 29,336,217