Betri za Laptop

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,073
4,007
Shalom na Ramadhan Kareem waungwana. nina maswali mawili kuhusu betri ya laptop, ninawaombeni msaada/ushauri; 1. nina laptop model ya zamani toshiba equium ambayo baada ya kuitumia kwa muda mrefu betri yake ikawa haitunzi tena umeme lakini nikawa naendelea kuitumia laptop ikiwa kwenye umeme moja kwa moja. hata hivyo, wiki hii laptop imekataa kabisa kuwaka na kuna mshauri ameniambia kuwa mwisho wa siku hata betri inayotumika kwa kupitisha umeme baada ya kuwa haiwezi tena kutunza charge nayo pia hufika mahali ikafa kabisa! je hili ni sawa ama laptop imeingia ubovu?...2.ninatafuta betri original za laptop aina ya Toshiba Equim na Dell Inspiron, ninaweza kuzipata wapi na bei zake zina range kwenye sh ngapi? Msaada Tafadhali sana waungwana...
 
Cdhani km ni sababu ya betri sababu huwa PC nying znawaka hata ucpoweka betr inapokuwa kwny umeme. Mfano angu Toshiba satellite.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom