Application nzuri kwa ajili ya whatsapp katika PC

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
5,213
4,328
naomba msaada wa application ya android ambayo naweza kuinstall na kutumia whatsapp messenger katika pc ya window 7 mbali na bluestacks.msaada wakuu anaefahamu pleaz
 
njia rahis. download Bluestacks, utaweza kutumia apps za android kama whatsapp, instagram na nyingne....
 
Ipo nyingine inaitwa AMIDUOS nayo ipo vizuri sana, ipo Kickass.
 
Fungua whattsap web katika pc utaona bar code, , also nenda kwa sim yako, pale juu kuna nukta 3, click hapo chagua whatssap web, itakuletea camera, kuwa kama unapiga picha ile bar code iliyopo katika pc, ambayo actually unascan, then, start use it. AS simple as that
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom