Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimeipata kwenye radio fulani kwa kifupi sana kwamba tarehe 3.11.2013 jua litazibwa na mwezi na kuleta giza kubwa mchana. Halafu eti safari ya mwisho hii kutokea ilikuwa mwaka 1466! Hebu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni naomba msaada jinsi ya kuangalia Mechi ya UEFA kupitia smartphone tafadhari
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello wanajamvi ...natumaini hamjambo wote ..naomba kujua kutoka kwako unayesoma Uzi huu na mpenz wa smartphone za uhakika na za kijanja...smartphone ipi ya Samsung unaikubali na inaonekana Kali...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu je naweza kutumia IPAD kama mobile phone. Yani kama kuna option ya kupiga simu au kutuma text au kama apps za kuniwezesha kutumia huduma hzo. NATANGULIZA SHUKRAN WAKUU
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Button za laptop hazifanyi kazi.. kuna baadhi ya button katika laptop yangu ya acer hazifanyi kazi msaada wakuu na sensor ya mouse haifanyi kazi ..je tatizo ni nini mafundi na matechnician...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
kwa wale wa taalam wa it ukiwemo chief mkwawa! nina cm yangu aina ya samsung core 350 line moja nilikuwa na down load whatsap matokeo yake ilipofikia asilimia fln cm ikazima, nilipo iwasha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hivi naweza kuinstal whatsap kwenye pc bila kutumia blue stack? kwayeyot anayejua anisaidie. karibuni wadau kwa michango yenu
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Pixlr Express – Photo editing Pixlr Express is one of the best and highly rated powerful photo editing app for android. This photo editing tool makes you look like a professional, even if...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mafundi tumegundua kwamba tigo wamekata mawasiliano kwenye simu aina ya tecno (Android Phones) ukituma imei za hizo simu TCRA zinatambuliwa
2 Reactions
65 Replies
8K Views
Naomba kujua Jinsi ya kubadilisha profile picture kwenye JF,kwa 7bu sijaona option ya kubadilishia
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tukutana hapa, kuzichambua hizi and finally ku conclude which is the best.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Hey, I just downloaded WhatsApp Messenger on my Android. It is a smartphone messenger which replaces SMS. This app even lets me send pictures, video and other multimedia! WhatsApp Messenger is...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Naomba msaada wa serial number ya pinacle ultimate 18 na adobe collection cs6... ambaye anazo naomba anisaidie plz.
0 Reactions
0 Replies
689 Views
JINSI YA KUFANYA SOFTWARE UPDATE KATIKA DECORDER YA BEST HD4U ​ Kwanza download attached software , un_zip, kisha copy file na weka katika flash. Fuata hatua hizi nne (4) Hatua ya kwanza...
1 Reactions
33 Replies
19K Views
Habari zenu naomba Kufundishwa kwenye bank statements wanatumia mfumo gani mwenye kujua tafadhari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana jamii... Flash yangu haikubali kuongeza wala kupunguza wala kuifomati kila nkijarib kufanya hivyo vitu inaniandiakia write protect. ... Msaada Tafadhali kwa mwenye kufaham. .. Ahsanteni
0 Reactions
8 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Poleni na majukumu wadau. Nashida kwenye PC yangu kila nikiwasha inaandika maneno Hays Logon process initialization failure. Please consult the event log for more details . Alafu aifunguki...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
waungwana habari zenu kama heding yangu hapo nahitaji msaada mwenye link nayoweza kupata Microsoft office kuanzia 2010 kuendelea anisaidie please cc CHIEF MKWAWA na wengineo
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Habari wana jamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kuchat snapchat maana nimejiunga naishia kupiga picha na kubadili picha kwenye profile tu mfano nataka nikasome page ya mtu mfano ya wema...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom