Tablet gani itanifaa?

Ni mhitimu wa kidato cha sita nahitaji tablet kwa ajili ya kusomea nikianza chuo gharama isizidi laki (400,000/=) nne, kwa wazoefu aina gani itanifaa hapo?
Kama una smartphone achana na kuwaza tablet maana haitokuwa na msaada mkubwa kwako jitahidi utafute laptop itakusaidia kufanyia kazi zako chuoni
Ahsante

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo jema kama una vitu vya msingi kama walivyokushauri member wengine hapo juu, kwa ajili ya masomo Laptop ina msaada mkubwa kuliko Tablet , ila kama ipo si mbaya ukijipatia
Samsung Galaxy Tab 4 T531
 
Ni mhitimu wa kidato cha sita nahitaji tablet kwa ajili ya kusomea nikianza chuo gharama isizidi laki (400,000/=) nne, kwa wazoefu aina gani itanifaa hapo?

Unaenda kusomea kozi gani? Kama unaenda kusoma kozi za kompyuta basi tablet haitakusaidia hata kidogo na utaichoka ndani ya miezi 2.

Hata kama unaenda kusoma kozi za notice bado laptop ndio ya muhimu na itakusaidia hadi kwenye reasearch.

Ni, hayo 2;!
 
Anaenda MUHIMBILI university i am sure hatapata mda hata wa kuiweka kwenye Chaji.
 
kwa hiyo 400,000 njoo nkuuzie laptop bomba hp i3 achana na tablets haitakusaidia pc ni nzur ku type na kuprint kaz zako vizur hako kadude michosho tuu sasa kama tab za apple au android utaprint wap kaz zako. nunua window pc kwa uhakika zaid thinkbdeeep bro.
 
Unaenda kusomea kozi gani? Kama unaenda kusoma kozi za kompyuta basi tablet haitakusaidia hata kidogo na utaichoka ndani ya miezi 2.

Hata kama unaenda kusoma kozi za notice bado laptop ndio ya muhimu na itakusaidia hadi kwenye reasearch.

Ni, hayo 2;!
Naplan kwenda Bugando, Medical Lab Science
 
f6e085f8bf954bea69e318588c447f5b.jpg

Anatuyeyusha huyu sijui anadhani humu ni MMU
Ngoja nijifikirie vizuri nisije kukurupuka kama bwana mkubwa
 
Back
Top Bottom