Msaada wa kuchat kwenye SnapChat

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Habari wana jamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kuchat snapchat maana nimejiunga naishia kupiga picha na kubadili picha kwenye profile tu mfano nataka nikasome page ya mtu mfano ya wema sepetu nafanyaje ili nipate page ya mtu , na mimi kuandika.
 
Ndo nataka kuxiona hizo picha mtembeo hata zangu sizioni nikishapost ndo basi sizioni tena
 
Ndo nataka kuxiona hizo picha mtembeo hata zangu sizioni nikishapost ndo basi sizioni tena
long time sipo snapchat inawezekana mambo yamebadilika. huwa unaona picha mtembeo za mtu pale yeye anapopost then baada ya muda fulani unakuwa huzioni automatic hupotea. swipe kulia kwenye list ya watu wako utaziona. au pengine marafiki wako hawapo active hawapost chochote ndio maana huoni.
 
Aisee social media zipo nyingi sana. Inabidi uchague tu chache kati ya hizo hafu ndio uwa follow wale unaotaka kupata habari kutoka kwao.

Snapchat naisikiaga tu. Ata sijawahi ijaribu.
 
1.Snapchat post inakaa masaa 24 baada ya hapo inaondoka

2.Huwezi kuandika caption ndefu wala kuchat kwa maneno inakupa option ya kuandika maneno machache kwenye picha au video!

3.Haikupiti muda wa Kuedit picha wala video so make sure una camera nzuri ya simu yako na uwe unavitu vizuri vya kupost muda wowote

4.Huwezi kupost picha au video zilizpo kwenye simu! Ukitaka kupost piga picha muda huo huo na kupost au video!

5.Snapchat means kuchat kwa picha manawasiliana kupitia picha au video

6.Muda mwingi uwe unatumia kuwa snapchat usitegemee kusema kuwa nikiingia baadae nitaona post ya mtu
 
Back
Top Bottom