Msaada: Galaxy note 2, line ya tigo haisomi mtandao ila internet inafanya kazi

Anofaby

Senior Member
Jul 20, 2012
122
34
Naomba msaada simu yangu ni sumsung galaxy note 2 toka jana imeandika emergency call only ila internet inafanya kazi kama kawaida kwa line ya tigo pekee,, line nyingne zote zinafanya kazi ispokua ya tigo tu.. msaada tafadhari
 
Hata za Tcra ziko hivyo hviyo internet inashika, sina hakika kama ni njia gani umetumia kuhakiki kwamba simu yako si feki
 
Simu yangu original. . Afu hilo tatzo limeanza jana ni kwa line ya tigo pekee,, nkiweka voda.. airtel zinafanya kazi kawaida,, line ya tigo inaandika emergency call only ila access ya internet ipo vizuri
 
Jaribisha line nyingine ya tigo mbali na yakwako ku conferm kwamba tatizo sio hiyo line yako kama hujafanya hivyo
 
Simu yangu original. . Afu hilo tatzo limeanza jana ni kwa line ya tigo pekee,, nkiweka voda.. airtel zinafanya kazi kawaida,, line ya tigo inaandika emergency call only ila access ya internet ipo vizuri
Ndio hilo tatizo lipo kwa watu wengine. Nishaiona Galaxy s3 inasoma voda na halotel ila tigo na zantel haisomi. Wasiliana nami kwa kutatoa tatizo lako
 
Mimi simu yangu galaxy note 3 ina tatizo la kioo kukwama mpaka nitumie kalamu yake lakini wakati mwingine inakuwa vizuri tu tatizo ni nini kwa wanaojua
 
Naomba msaada simu yangu ni sumsung galaxy note 2 toka jana imeandika emergency call only ila internet inafanya kazi kama kawaida kwa line ya tigo pekee,, line nyingne zote zinafanya kazi ispokua ya tigo tu.. msaada tafadhari
Check kwa *#06#,imei yake inatokea nini, Samsung nyingi zimekuwa refurbished hasa used imei unakuta zinasoma tofauti na nyuma kwenye battery au zingine zina soma 0/01
 
Me yangu nlishawahi kuipeleka kwenye ofisi zao posta ilipoteza imei wakaifanyia backup na kueka imei nyingne tofauti na ya nyuma.
 
Naomba msaada simu yangu ni sumsung galaxy note 2 toka jana imeandika emergency call only ila internet inafanya kazi kama kawaida kwa line ya tigo pekee,, line nyingne zote zinafanya kazi ispokua ya tigo tu.. msaada tafadhari
Mdogo wangu anatumia note 3 nayo inatatizo kama wewe tena ni og sijui tigo wamepatwa na tatizo gani
 
Simu yangu original. . Afu hilo tatzo limeanza jana ni kwa line ya tigo pekee,, nkiweka voda.. airtel zinafanya kazi kawaida,, line ya tigo inaandika emergency call only ila access ya internet ipo vizuri
Simu yk Siyo mbovu tumia line za mitandao mingine
 
Back
Top Bottom