Habarika na burudika na POA APP ya kitanzania

Status
Not open for further replies.

Green Bird

Senior Member
Jan 26, 2016
101
81
PoaApp%2BLogo%2B1.png

Habari za kufurahisha na kusisimua katika ulimwengu wa teknolojia ni kuwa sasa hakuna haja tena ya kutumia WhatsApp wala Telegram kwani sasa tuna App yetu tuliyoipa jina la POA APP.

Hii ni zaidi ya WhatsApp, ijaribu sasa kwani hii ni bora zaidi itakuwezesha kumtumia rafiki yako Video, audio, picha, document.

Usijali kuhusu kupiga simu kwani ni bure pia. Unaweza kupiga simu voice call na unaweza kupiga video call. CHAT, HABARIKA NA BURUDIKA NDANI YA APP MPYA YA KITANZANIA IITWAYO POAPP INGIA HAPA KU DOWNLOAD ~ Bin Ruwehy

Ijaribu sasa kwani hii app kila siku ni zaidi ya jana katika ubora kwanini tusijivunie vya kwetu? Download hapa www.poaapp.co.tz
 
Duuuh...mtoa mada hebu rudi kajipange vema uje tena, hiyo Icon na maelezo mbona haviendani?
Tatizo sio ICON jaribu kuitumia kisha ulete mrejesho hili la icon litashughulikiwa kama unania ya kuijua iko vema au la ijaribu hii icon itafanyiwa kazi ucjali
 
Tatizo sio ICON jaribu kuitumia kisha ulete mrejesho hili la icon litashughulikiwa kama unania ya kuijua iko vema au la ijaribu hii icon itafanyiwa kazi ucjali
Sasa ni jue kama iko poa wakati ni COPY and PASTE ya idea za app kama whatsapp,telegram nk...
Hadi icon ulikuwa unaelekea kule kule tu, tofauti hapo ni rangi na hiyo logo.
 
Sikutaka kuku disappoint nili i dawnload lkn kujiunga ni ishu nimeifungua nikaenda sehem ya sign up nikaandika full name ikaja sehem ya namba nimeandika namba katika namna mbali mbali ina load tu.
Nikaufutilia mbali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom