mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Wakuu, nina page yangu fb, ninataka niipromote iwe na Like nyingi kwa kutumia fb sponsored Ad. Nina pata shida jinsi ya kulipia. Nina akaunti crdb je hiyo inaweza tumika kulipia?
Asante kwa msaada
Asante kwa msaada