Namba za Dharura

Code Breaker

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
1,019
445
Hello wataalamu,
Naombeni msaada wa maelezo ya kitaalamu kuhusu mtu kuweza kupiga simu ya dharura katika hali zifuatazo:
1. Kuwa nje ya mtandao (No network coverage)
2. Simu ikiwa imefungwa kwa nenosiri (password/pattern)
3. Kupiga hata bila kuwa na SIM card/line..

Asanteni
 
112 inakubali ila network inAbidi iwepo. ukiwa huna sim card, au simu ina password inakubali. utaon Neno emergency call only ndio hapo hapo
 
112 inakubali ila network inAbidi iwepo. ukiwa huna sim card, au simu ina password inakubali. utaon Neno emergency call only ndio hapo hapo
Lakini kwa Tanzania nadhani haifanyi tena kazi. Watanzania wengi tulikua tunatumia hii namba kwa usumbufu tu bila kua na shida.

Namba nyingine ni 113 Fire. Ila sina uhakika kama inafanya kazi katika hayo mazingira
 
kipindi kile walikuwa wakitumia simu ya mezani, kama wame upgrade mitambo na kuwachukulia hatua wasumbufu watu wataiheshimu
 
Chief, kama una simu jaribu kuweka flight mode (ita-disable network) na ukipiga 112 itakubali.
 
Lakini kwa Tanzania nadhani haifanyi tena kazi. Watanzania wengi tulikua tunatumia hii namba kwa usumbufu tu bila kua na shida.

Namba nyingine ni 113 Fire. Ila sina uhakika kama inafanya kazi katika hayo mazingira
Inafanya kazi mkuu...Nimejaribu
 
Nimekuelewa mkuu, ila hata ukiwa umetoa line (huna mtandao) bado unaweza kupiga 112..Wanairecognise kama emergency number
ukitoa line inakua huna tu line ila mtandao upo. ukumbuke kinachokamata mtandao wa simu sio line bali ni antena ambazo zipo ndani ya simu.

eneo ikiwa mtandao wowote unashika hata kama sio wako itakubali emergency
 
Back
Top Bottom