ASIKARI
Member
- Oct 17, 2012
- 92
- 22
Habar za jion wakuu, nimekuwa nikipata tabu sana katika kucheza video na audio nnazo tumiwa kupitia WhatsApp,hii inatokana na simu nnayo tumia, Iphone. Je hakuna application nayo weza ku Install ili niwe nna play nyimbo bila kuingia whatsapp katika chat niliyo tumiwa file hilo?
Msaada tutani
Msaada tutani