Tablet yangu Itel it1701 inajitouch yenyewe sometimes

Mosae

Member
Jul 4, 2016
12
3
Msaada nina tablet tajwa hapo juu huwa wakati mwinyine inanizuia kufanya chochoye pale inapoanza kufungua fungua na kufunika funika mafile, na hata hunikatia simu wakati naongea bila mimi kuitouch.
Shida yake nini, nawasilisha.
 
Back
Top Bottom