Kuuvaa Mkenge kwenye Harusi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Maharusi wengi (Bi au Bw) huwa wanagundua wamechemka siku ya harusi yao.

Mzee mzima unaweza ukakiona kitu kikali , mguu mguu, shingo shingo, mgongo mgongo,,,dimpo dimpoz,,,,,,na ukaanza kujilaumu kwanini umeoa mapema kabla ya kufanya uchunguzi wa kina.
Hii hutokea hasa ukumbini wakati wa kutolewa zawadi au wale mabinti warembo wanaovaaga sare.

Hii pia inaaply hata kwa ma bi harusi, nao eti huwa wanaonaga vifua walivyokua wanavitamani ,mahandsome wa ukweli ukumbini na huishia kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani.

Ivi hali hii ikikutokea unawezaje kuisovu wakati ushafunga harusi mda fupi uliopita??
 
Kwani wazuri wanaisha mkuu?
Hata km utaruhusiwa kuoa mke wa pili,say wewe ni ustaadhi,utakichukua hicho kifaa kiwe namba 2,na utashangaa wakati wa harusi ya mke wa pili utakiona kifaa kingine kikali zaidi kikitoa zawadi,utaamua kuoa wa tatu wakati wa harusi ya tatu utagundua wote watatu ni cha mtoto...kuna mtoto mkali ameonekana hapo ukumbini......zoezi litajirudia....baadae ndo unaanza kupiga uko kwa uko...ngoma nayo inatia timu....kinachofatia ,unajua mwenyewe.

la msingi ni kuridhika...
 
lol, vijana acheni tamaa! ridhikeni na wake zenu/waume zenu!
 
hahahahaah kaka jambazi umenichekesha kweli !
lakini sidhani kama ina ukweli wowote labda imetokea kwako
 
Maharusi wengi (Bi au Bw) huwa wanagundua wamechemka siku ya harusi yao.

Mzee mzima unaweza ukakiona kitu kikali , mguu mguu, shingo shingo, mgongo mgongo,,,dimpo dimpoz,,,,,,na ukaanza kujilaumu kwanini umeoa mapema kabla ya kufanya uchunguzi wa kina.
Hii hutokea hasa ukumbini wakati wa kutolewa zawadi au wale mabinti warembo wanaovaaga sare.

Hii pia inaaply hata kwa ma bi harusi, nao eti huwa wanaonaga vifua walivyokua wanavitamani ,mahandsome wa ukweli ukumbini na huishia kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani.

Ivi hali hii ikikutokea unawezaje kuisovu wakati ushafunga harusi mda fupi uliopita??

Kwanza kabisa utakuwa hata hustahili kuoa kwani hizo ni akili za kitoto hufai kupewa majukumu ya kibaba.
Hivi unaoa miguu shingo,dimpoz au unaoa mke?
Na unaoa kuonyesha watu au mnakuwa mmependana mpaka kufikia uamuzi huo?
Ndoa sio kidali poo ukajifanya kuingia wakati haupo tayari.Hata huyo mwanamke umuoe awe kama Kleopatra jinsi siku zinavtoenda atabadilika tu kutokana na maumbile/bailojia.Isitoshe anaweza hata kupata ajali na kuwa kilema.sijui utafanyaje?
Dah una hatari sana! nakusikitikia.
 
hivi unaanza kujikosoa na kujuta siku hiyo hiyo ya harusi, mtafika kweli???
 
Maharusi wengi (Bi au Bw) huwa wanagundua wamechemka siku ya harusi yao.

Mzee mzima unaweza ukakiona kitu kikali , mguu mguu, shingo shingo, mgongo mgongo,,,dimpo dimpoz,,,,,,na ukaanza kujilaumu kwanini umeoa mapema kabla ya kufanya uchunguzi wa kina.
Hii hutokea hasa ukumbini wakati wa kutolewa zawadi au wale mabinti warembo wanaovaaga sare.

Hii pia inaaply hata kwa ma bi harusi, nao eti huwa wanaonaga vifua walivyokua wanavitamani ,mahandsome wa ukweli ukumbini na huishia kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani.

Ivi hali hii ikikutokea unawezaje kuisovu wakati ushafunga harusi mda fupi uliopita??

Kwani unaoa mke au unaoa dimpoz na mguu wa bia? Mke ni zaidi ya mguu wa bia na dimpoz mkuu! :)
 
Hii hali ya hewa ya leo kwa kweli naona membaz wengi hawapo online.....nahisi gesti zitakuwa zimejaa wadumisha mila tupu huko..... :)
tukianza na kakaangu mie and the company!!!!!!!!!
 
Uzuri au ubaya wa kitu chochote ni kitu cha kufikirika na maono binafsi, ndio maana waswahili wana msemo wao kwamba wewe cha nini mwenzio ntakipata lini, akili kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom