Zikikupanda unafanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zikikupanda unafanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kilimasera, Feb 25, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nipo kwenye daladala, naitazama saa ni saa 6 mchana, siku ya jumamozi wiki iliyopita yaani juzi tu. Nimekosa kiti nawajibika kusimama. Tupo abiria kadhaa mbao tumesimama kiasi ambacho tumebanana kiasi ingawa siyo kama kupumuliana visogoni.
  Kati ya waliosimama jirani yangu ni kijana fulani kavaa suluwali aina ya jeans na shati jeusi, kisha miguu kavaa sandozi rangi ya njano. Pembani yake yuko binti makamu ya miaka 19 au 20, sote tupo kimya kila mmoja anawaza lake.
  Lakini kadiri tunavyokwenda namuona kijana anamsogelea sana yule binti, anambana kupita kiasi hadi najiuliza kulikoni huyu njemba? Najifanya sioni sana ila nazidisha kujihoji inakuwaje hapao, nini kinachoendelea. Kumbe yule kijana anambana yule binti huku uume umesisisimka jamani, anaHAMU huyooooo, kambana binti wa watu kana kwamba hakuna nafais nyingine. Kinachonifanya nigundue ni kwamba mara nyingi alikuwa akiingiza mkono kwenye suluwali yakee yaani pale penye uzima wake wa kunogeshea mambo. Naona anatengeneza kuelekea kwa yule binti, najiuliza kulikoni hapa?
  Naona kuna mzee fulani kagundua ule mchezo, pia hata binti akagundua kuwa **** lake linaguswa na kitu kigumu ingawaje ni KITAMU. Sasa yule kijana anaongeza midadai bila kufahamu tuliopo pembeni tunaona harara zake, anajikita zaidi katika **** la yule binti, anatetemeka kiasi, mara anazidisha hali hiyo huku akisahau yuko kwenye gari la umma. Kimsingi nashindwa kuvumilia naamua kucheka, naona jirani yangu fulani kagundua kitu kwanini nacheka kishkaji...maana hata mhusika alibaini hilo. laiti angelijua kuwa nilikuwa nacheka kumnusuru kabla hajakutwa na zahma...nikaona bora niendelee kunyamaza tu huku nikicheka kibingwa.
  Jamaa hana soni, ndani ya basi abiria wamepungua, kuna nafasi ambayo angeliweza kutengana na yule binti...lakini haachi jamani duh! Naona kuna siti iko tupu naamua kuisogelea, ndipo jamaa mmoja ananiuliza inakuwaje mwana mbona kicheko muda mrefu sana, namshitua cheki kazi hapo mbele.....alaaha kuja kuangalia hali imekuwa hivyo hadi binti kagundua jamaa akaelekeza kichungulia uvunguni katika **** lake. Na kilichomwokoa binti ni kwamba kuna jamaa alishuka kituo fulani kwahiyo akapata upenyo akajichopoa haraka toka kiunoni mwa mshikaji.
  Ikabidi nijiulize hivi wanawake waliopo na wamejazana kama magazeti duniani hawaoni? Nikajiuliza inakuwaje aisake aibu yote hii? Je kama wewe msomaji unapokuwa na NYEGE unafanyaje? Au unaparamia kama huyu jamaa? Ni rahisi tu mbona kuna midada ipo inauza uvungu kwa sh. 300/=? Usibishe msomaji nimechunguza haya mambo?
  Najiuliza ni kweli hana buku akijipatie uvungu japo kupunguza TUI LA NAZI? nadhani nilichanganyikiwa mimi labda na mwenzangu akawa anajipa starehe...... najiuliza sipati jibu!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 40,252
  Likes Received: 33,569
  Trophy Points: 280
  Dah,
  huyo ngosha ni noma.
  Yaani inapatwa na mfadhaiko kwenye kadamnasi?
  Mi nikibanwa pabaya, naanza , kuvua,
  navua shati, kisha navua suruali,
  baada ya hapo naanza kuvaa.
  Navaa singleti na suruali ya mazoezi,
  naingia uwanjani.
  Nikipiga raundi zangu ishirini za kukimbia,
  mbona mahanjamu yote yanakuwa yameisha!!!
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Ni kujiendekeza tu; hali ikikuta na ukairuhusu akili yako kuwaza mwili huwa unaamrishwa kutenda tu! Huko ni kujiendekeza na kunasabibisha uonekane taahira!
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Uvunguni... eh eh eh ?
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,644
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  hahahahaah inacheksha !!!
   
 6. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sipati picha ilikuwaje huyo binti alivyopata nafasi ya kukaa na yeye bado kasimama kote kote, dunia ina mambo.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,893
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Miaka ya tisini ile hizi issue za mfadhaiko tulizisikia daily kwenye magazeti, sasa huyo jamaa bado anaishi na mifadhaiko yake, so sad!
   
 8. U

  Urenga One Member

  #8
  Feb 25, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du si muchezo mutoto ya mujini inataka kujiabisha du. Mbona pale Macheni Pub wapo kibao saizi unayotaka. kwanini alitakakujiabisha??? au jogoo la shamba halikosi kamba............
   
 9. m

  manyembe Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa alitakiwa akomae
  mpaka kieleweke
   
 10. o

  otangetisam Member

  #10
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 31, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,795
  Likes Received: 1,430
  Trophy Points: 280
  Duh! Kuna mmama alimkamata kijana mmoja dudu yake kwenye daladala kimya kimya akaanza kuiminya mbya. Kijana ikabidi apige kelele, wattu wakaona, wakamtwanga kijana.
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Pole sna kwa mkaka labda alikuwa na ukame:confused:
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180

  Walimuonea kijana wa watu!
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Unakemea ama kwa jina la YESU au la ALLAH.
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  huyo dada nae alikuwa anaona 'raha' kwanini asimkemee mapema?
   
 16. Jerome

  Jerome Senior Member

  #16
  Feb 25, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  agiza chupa ya maji ya 500/= kunywa kwa kasi hamu itaisha,kama huwezi usipande daldala za kubanana wadada wengine wana visa,bora huyo alivaa jeans angekutana na yule wa juzi alivaa kaskirt laini kimini vurugu za basi la mbagala kikavutwa chini kidogo bila kujijua,ikawa shoo nzuri ya kufuli aina ya G sting na chachandu kama kumi hivi,nahisi alikuwa anatuachia ili wakware wapate burudani alikuwa hajali kabisa ila mimi nilikuwa naona kichefuchefu ukizingatia mzigo alionao na alivyovaa havilingani angekuwa huyo si angebaka? nilishukuru niliposhuka salama mtoni azizi ally kabla sijatapika,du wadada mtuhurumie watoto wa wanawake wenzenu MWEE!
   
 17. Sydney

  Sydney Senior Member

  #17
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndio dunia na ukisikia watu wanasema DUNIA TAMBARA BOVU sio uongo ni ukweli! Hivi jamani kwenye usafiri wa umma? Maana yake ni nini? Ni kuchanganyikiwa ama? Hata kama zimekubana ndio uanze humo humo? si uteremke ukatafute kisha ushindilie ipasavyo? watu wengine bwana noma kweli kweli! Mimi ningekuwa huyo dada palepale nilipogundua ningepiga kelele hizo heee, hadi basi zima wangejua alikuwa anataka kujichojolesha kwangu!
   
 18. M

  Mchili JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Aliruhusu mfadhaiko wa akili. Unaanza kwa kuangalia, halafu ubongo unafikiri na fikra zinaanza kutenda hapo ndipo wendawazimu unampata bila kujua. Haziwezi kukupanda bila kuwaza. Kama furaha ya macho inavuka mpaka hadi kwenye ubongo basi usiangalie wala kuwafikiria unapokua kwenye kadamnasi.
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,291
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  ikiwa hivyo ni kukimbilia kwa mungu. Sali rozari utavishinda vishawishi. Ikiwa ngumu sali sala yoyote fupi ili umwombe Mungu naye atakuepusha na kishawishi.
   
 20. mpogole

  mpogole Senior Member

  #20
  Feb 28, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mazee noma bt nw days chks wapo wakutosha kwanin upate tabu legeza domo watoto kibao jamani
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...