Mchungaji Atumia Pesa za Kanisa Kufanya Ukahaba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji Atumia Pesa za Kanisa Kufanya Ukahaba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Feb 27, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,036
  Likes Received: 6,831
  Trophy Points: 280
  Mchungaji Atumia Pesa za Kanisa Kufanya Ukahaba


  Mchungaji Samuel Martin Martin katika tangazo lake la ukahaba Saturday, February 27, 2010 1:57 AM
  Mchungaji mmoja nchini Hispania ametimuliwa baada ya kutumia pesa za kanisa kujitangaza kwenye internet kuwa yeye ni kahaba wa kiume na alizitumbua pesa zaidi za kanisa kwa kupiga simu za ngono na kutembelea tovuti za kulipia za video za ngono.

  Skendo hilo kubwa la mchungaji wa makanisa mawili ya katoliki katika mji wa Toledo, mchungaji Samuel Martin Martin, 27, limetawala magazeti ya Hispania ambapo magazeti mengi yalichapisha tangazo la kutafuta wateja la mchungaji huyo kahaba.

  Mchungaji Martin aliweka tangazo hilo likiambatana na picha yake akiwa amevaa chupi ya kahawia akisema kuwa yuko tayari kufanya mapenzi na mwanamke yoyote kwa malipo ya euro 120 kwa lisaa limoja.

  "Niko tayari kwa mapenzi ya staili zote, napatikana masaa 24 ukitaka nyumbani kwako au hotelini. Hautazijutia pesa zako, nitakupa raha ambayo hujawahi kuipata", lilisema tangazo la mchungaji Martin.

  Mchungaji huyo ambaye alijitambulisha online kwa jina la Hector alijitamba kuwa ana mzee mwenye urefu wa sentimeta 15 ambaye yuko tayari kutoa uroda na furaha.

  Mchungaji Martin aliwaomba radhi waumini wa makanisa hayo akisema kuwa alizitumia vibaya pesa za michango ya kanisa.

  Anatuhumiwa kutumia euro 17,000 kwenye mitandao ya simu za mambo ya ngono na tovuti za video za ngono.

  Skendo la Martin limeibuka wakati kanisa katoliki nchini Hispania linapigania kuwavuta waumini makanisani kutokana na kupungua kwa idadi ya watu wanaoenda makanisani.

  Mchungaji Martin ametoweka tangia skendo hilo lilipoibuliwa magazetini na ameahidi kuzirudisha pesa alizoziiba kweny
   
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Du hii nayo kali, lakini mie sielewi vizuri imekua je? mchungaji wa makanisa mawili? mana sielewi elewi
   
 3. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 827
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Dah , hii ajira nzuri sana vijana, nadhani itabidi nifungue website kuweka picha kwa malipo ya fulani , tuwaonee huruma wadada wano piga kambu usiku bara barani na vijana wanao taka pesa chapchap kwa mamama walio lonely ,mana M-Pesa si ipo itatumik kulipia hudumu hii badala ya credit card..
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...