Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau hii ni kweli?kuna chansi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Helo Dears, Dearests and Super Dears! Its Furahi day, Remember "YOU LIVE ONLY ONCE, PLAY SAFE"
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Wakuu, Hivi nimejaribu kuchunguza miaka imepita nasijapata jibu naleta kwenu mnijuze kwa nini, Kwanini unapokaribia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan vitu upanda bei?? (a)Mnyama mauzo yake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC na katika moja ya taarifa zilizonishangaza ni kuwa nchini botswana kuna sheria inayomkataza mume au mke kumfatilia mwenza wake pindi mmoja wao anapoamua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jirani yangu ambaye anaishi gorofa moja juu yangu kila wakati akifanya mapenzi huwa ananiamsha kwa sababu kitanda chake kina piga kelele sana.Tena huwa ni katkati ya usiku kuanzia 1am to 3am.Hii...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wapenda kila nikiingia na mipira narudi nayo nje na hii imekuwa baya pale binti anapoanza kuvua yaani hamu ya mipira inaondoka najikuta kama sio mimi yaan sijui ni pepo ama naombeni mniombee kwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu mmoja ana kitabia kichafu cha kutembea na wake za watu huku naye ana mke tena mzuri wa sura natabia. Sasa hivi karibuni alimtokea mke wa mtu ofisini anapofanyia kazi mkewe,na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:israel:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
We na mkeo mmeanza maisha na wote, mwafanya kazi sehemu tofauti na huwa mnaondoka alfajiri kwenda mihangaikoni na mnatumia daladala. Kila siku kuna jama anapita na gari lake na mkeo anakuambia...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
20 signs that you should end it Has your relationship run its course? Here's how to tell Relationships, like hot summers, often look better from a distance. Just as you forget how...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimewahi sikia na kusoma through internet kuhusu haya magonjwa yanaitwa sexual disoder but sikuwahi sikia kuwa kuna wa africa nao siku zote nimeamini ni wazungu ndo wagonjwa mfano wa stori hii...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukiwa na mpenzio/ mume/mkeo mwatembea mmeambatana, mara inapotokea jozi (pea) nyingine ya wapendanao mkapishana nayo, jaribu kuchunguza kwa makini... Wengi ya wapendanao huwa wanapoteza kabisa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumbe wamarekani wanayajua mapenzi kuliko sisi. Kumbe tena wako wazi kuliko sisi. Wako wazi kiasi cha kuwa na ndoa za mikataba. Wako wazi kiasi cha kuruhusu mahusiano ya jinsia moja! Kumbe wanaona...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu??? Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
For all those men who say, Why buy a cow when you can get the milk for free. Here's an update for you: Nowadays, 80% of women are against marriage, WHY? Because women realize it's not worth...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
huwa inanipa taabu sana, eti kwa nini abiria wa pikipiki huwa wanakaa "upande" kila mara huku wakichingulia "kiaina" juu ya bega la dereva.... yaani hawakai wima na kutazama visogo vya madereva wao?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji ushauri wenu wana JF, mimi nina rafiki ambaye tulifahamiana toka niko sekondari kama family friend. Tulipoteana kwa muda wa miaka 8 hivi kisha tukaaza kuwasiliana tena mwaka huu (family...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Umezuka ubishi hapa nilipo. Wanaume walioko hapa wanasema kwamba wanawake wanaonyonyesha huwa hawana hamu ya kukutana kimwili na wanaume eti kwasababu huwa wanaponyonyesha huipata raha( hufika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mapema ya asubuhi ya ijumaa unawahi mzigoni njiani unakutana na mtoto wa kike mzuri amejaajaa anatembea kwa pozi kuelekea kituo cha daladala, unaona isiwe nongwa unaamua kumpa lifti, hajivungi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakulu, fikiria umeoa na una watoto..!! Mnakwaruzana na mkeo na katika kujibizana mkeo akakuambia" wajiona mwanaume... unadhani hata hao watoto ni wa kwako?" Ukisikia kauli hiyo utafanyaje na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom