Kwanini wanauliza baada ya tendo?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Mmemegana na binti kwa mara ya kwanza, hujatumia kondom.
Muda wote wote wa tukio anatoa ushirikiano ile mbaya,
mkimaliza shughuli ndio anauliza "Tumefanya bila kondom, nikipata mimba je?"
Yaani hofu ya ukimwi na magonjwa mengine ambukizi hana, hofu kuu ni mimba tu.
 
hivi bado kuna watu wanafanyaga hayo mambo bila vitendea kazi?...haaa haya mambo bwana, mie nilikuwa ckubali kabisa mbegu ya mwanaume iingie mwilini kwangu, kwa ajili ya nini wakati kuna vitendea kazi?
 
Kwasababu wakati ana amuakukupa bila condom aliamini kuwa huna ukimwi lakini anaamini uwezo wa kumpa mimba unao na ndio maana hofu yake imekuwa ni kupata mimba tu.
 
sasa hivi unaweza kumwamini mtu kwa kumpima kwa macho kweli? sasa mbona hakufikiria na hiyo mimba itakuwaje bac?
 
We Mhaya, naona umeamua kutoa siri zako, kumbe huwa unatembeza mkwaju ngoma bila kuuvisha nguo.
Janja yako kwisha gundua.
Mmemegana na binti kwa mara ya kwanza, hujatumia kondom.
Muda wote wote wa tukio anatoa ushirikiano ile mbaya,
mkimaliza shughuli ndio anauliza "Tumefanya bila kondom, nikipata mimba je?"
Yaani hofu ya ukimwi na magonjwa mengine ambukizi hana, hofu kuu ni mimba tu.
 
hivi bado kuna watu wanafanyaga hayo mambo bila vitendea kazi?...haaa haya mambo bwana, mie nilikuwa ckubali kabisa mbegu ya mwanaume iingie mwilini kwangu, kwa ajili ya nini wakati kuna vitendea kazi?
hapo sasa, anainuka kucheza wakatimusic unaishia, anabakia kutingisha kichwa kwa mdundo wa jirani.
vitendea kazi kwa dunia ya leo ni muhimu kupita maelezo.
 
Hujakutana na mimi mie bila manii zangu kugonga ikulu yako sijasikia kitu ; kitu ng'adu ng'adu bana ni tamu balaaaa:lol:
 
hapo sasa, anainuka kucheza wakatimusic unaishia, anabakia kutingisha kichwa kwa mdundo wa jirani.
vitendea kazi kwa dunia ya leo ni muhimu kupita maelezo.

Beauty haaa! lakini tuache masihara watu wana moyo sana, utamuaminije mtu kirahic hv?
 
sasa hivi unaweza kumwamini mtu kwa kumpima kwa macho kweli? sasa mbona hakufikiria na hiyo mimba itakuwaje bac?

Kile kizuizi cha utotoni kilingolewa na ndomu :becky::becky::becky: ama ulikuwa unaendesha baiskeli :becky::becky::playball:
 
:becky::becky: Wengine wanawake wanakataa wenyewe utasikia anakuambia "mie tukitumia condom huwa nawashwa":becky::becky: mwengine " Kwani we umeniona mie malaya mpaka tutumie" :becky::becky::becky: Mwengine " Hizi zinaharufu mbaya":glasses-nerdy: Basi mzee unajitoma tu kwachu kwachu kwachu..........:becky:
 
Utamu mwanzo hadi mwisho
:becky::becky: Wengine wanawake wanakataa wenyewe utasikia anakuambia "mie tukitumia condom huwa nawashwa":becky::becky: mwengine " Kwani we umeniona mie malaya mpaka tutumie" :becky::becky::becky: Mwengine " Hizi zinaharufu mbaya":glasses-nerdy: Basi mzee unajitoma tu kwachu kwachu kwachu..........:becky:
 
hivi bado kuna watu wanafanyaga hayo mambo bila vitendea kazi?...haaa haya mambo bwana, mie nilikuwa ckubali kabisa mbegu ya mwanaume iingie mwilini kwangu, kwa ajili ya nini wakati kuna vitendea kazi?
Kwani ulishafanzwa na wangapi?

Kumbe siku ile tunacheza alaji kwenye harusi yako hukuwa bikira? LOL!
 
Beauty haaa! lakini tuache masihara watu wana moyo sana, utamuaminije mtu kirahic hv?

ndio hapo sasa, na inasikitisha mtu anaogopa kupata mimba na anasahau suala zima la magonjwa, too bad kwakweli.
 
Back
Top Bottom