Hata mimi nashangaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata mimi nashangaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamayao, Sep 20, 2010.

 1. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).

  Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom mke akawa anafanyia usafi begi na mume alilotoka nalo safari, alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....

  My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani...mke anasema harudi kwa mumewe mpaka amwambie ukweli wa aliyayaona.....

  Mie kama mie kwa jana nilikosa la kusema....inawezekana hii kitu jamani, kwamba mtu hajui ndio kwanza na yeye "anashangaa".....
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,853
  Likes Received: 23,469
  Trophy Points: 280
  Hata mimi namshangaa huyo mwanamke! Namshangaa kwa kweli!
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Huyo dada naye ana makosa.Amekurupuka kuondoka.Ni kweli inauma lakn alipaswa kuwa na subira. At least angemuwekea mitego kwani za mwizi ni arobaini ili hata akiondoka awe na ushahidi kamili.

  Isitoshe kama huyo mume ndio tabia yeke alipaswa kulijua hilo wakati wa uchumba ili wavumiliane.

  Mwambie huyo dada arudi haraka kwa mumewe
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kwa hili anashangaza.Hajatumia busara kuondoka.Na akimwambia kuwa ni kweli alizitumia hizo kondomu ndio atapona?au ataridhika?
   
 5. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii kali, kwani, huyo mume akubali tu ukweli mambo yaishe,na ninajua ukweli anaujua sema kukubali ni noma, na hata hivyo kuondoka kwa mume sidhani kama ni solution, that dada inabidi amuite mume na watu ambao anaona wanabusara kuyamaliza hayo.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mwanaume smart hawezi fanya hayo! Hilo ni changa la macho tu kawekewa na wahudumu wa Hotel ama Guest alokuwa akiishi! Mshauri arudi kwa mumwewe. Ukizingatia wanaume wamekuwa wa taabu na wengi wababaishaji si waowaji
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ZD umenifanya kidogo nipige yoweee, haaa nani anaonyeshaga maovu yake akiwa nje?...hutakaa kumjua mtu vilivyo kama mtakavyoanza kupuliana pamoja ucku kucha, kugusana m.a.t.a.ko ucku kucha....hapo ndio utajua kweli Chrispin ndio baba M....haaa uvumilie nini hapo, kama angejua mapema hayo matabia mbona hayavumiliki jamani.
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  heee kumbe? mkaka anasema yeye ki ukweli hajui lolote, (ctaki kumuhukumu)...shaka langu ni hapo kwanini mhudumu ampakie nguo zake, alishindwa nini kupaki tu nguo jamani.
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  jamani mie naona ni mapema sana kuita watu kusuluhisha, juzi tu tumecheza alaji alaji leo mnaanza kuita usuluhishi?
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  unajua kuna wale binadamu wakihic kama wanadanganywa bac roho ndio inamuuma zaidi ya kuambiwa ukweli halic, yeye anataka mwanaume aseme ukweli na ikiwezekana warudi huko hotelin kuhakiki...mana hakusafiri nje ya hapo TZ.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hakuweza angalia kila kitu kwenye bag maana alikuwa ana muwahi mkewe! Nadhani ningekuwa mimi ni huyu mkaka ningegeuza kibao kwamba huyo mkewe ndiye kamuwekea ningekomaa naye na kumwomba hii kesi iende kwa mkemia mkuu wa serikali (RIP Mashimba) kuangalia vinasaba kwenye hiyo chupi
   
 12. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,659
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huyo dada angetakiwa afurahi akijua mume wake ni mwangalifu haendi pekupeku, kama ana hizo tabia za kukimbilia nyumbani basi mwambie atakimbia sana tu haya mambo yapo na hayaondoki!
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hawa wanaume wa cku hiz Nyamayao hawajifichi sio kama wa zamani.Wanaringa eti kwa sababu '' wanaume waoaji ni wa shida''Ukikaa na mtu miezi 6 utamjua tu,hasa chumba zetu hizi za kuanza kutest kwanza
   
 14. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa unafikiri watasuluhisha vipi jamani? lakini hata ikiwa kawekewa still emotional wounds zipo pale pale, siyo kwamba huyo dada kachukua uamuzi wa hasira kama watu wanavyosema, ni maumivu makali sana ya mapenzi aliyoyapata pasipo kutegemea.
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  jamani jamani....sasa mkewe amuwekee ili iweje? yeye anatakiwa atoe maelezo hivyo vikorombwezo vimetokea wapi, na aseme ukweli wake amabo mke ndio anaoutaka.
   
 16. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nguo unapakiwa na muhudum wa htl?how kwann?kosa la kwanza hilo! hivyo vikaratasi vya ndom vimetumika au?yani htl hakuna dust bin?mke rudi kwa mumeo mkaongee kila kifanywacho gizani kuna siku kitakuwa nuruni tu usijali utayaona mengi kama yapo kweli,ukisusa wenzio watakula rojooooooooooooo lainiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  halafu ndoa yenyewe ina miezi kadhaa tu, mie cpendagi kumpa mtu ushauri cjui wa kuita watu wasuluhishe coz hata wasuluhishe kivipi bado nyie wawili ndio wahucka wakuu mngeweza kuyamaliza vizuri japo kutakuwa na tension fulani lakini mnaviziana mmoja wenu kapoa bac mnayaongelea kwa uzuri...wakianza sasa hivi kusulihishwa jamani ni mapema mno.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  BACK to the basics, huyo dada ashukuru hata mumewe anatumia kinga kama alivyosema jamaa hapo juu! Je angekuja nyumbani hana kitu chochote lakini jamaa alikuwa anajirusha kila siku huko?

  Hebu fikiria jamaa amue kuuwa na kumwambia my wifey unajua hiyo chupi ni ya mdogo wako alisisahau kuitoa tu! Alikuja nisalimu hotelini!
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mhhhh.
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Eti nini?
  Akubali yaishe.
  Kwa hilo sidhani mwali
   
Loading...