Chini ya miaka 60 wewe si mjane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chini ya miaka 60 wewe si mjane

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 23, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Mjane mdgo akifiliwa anafaa aolewe
  mjane asiefikisha miaka 60 sharti awe na mwenzie wa kumliwaza
  yawezekana we ni katka hawa walio chini ya miaka 60 sio maneno yangu ni neno la bwana mungu akakupatie mtu anaefaa kukuliwaza tena najua mapenzi ya mwanzo si kama ya huyu utakaekuwa nae lakini neno lamungu linasema kukueousha na dhambi si vibaya mjane akawa na wa kumliwaza ....
  Nawapa pole wajane mungu awape nguvu ya kuchagua mume mwema najua wengi sasa si wema lkn kwa hilo ukapate kupta hata bora ya
   
 2. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna nn Pdidy?
   
 3. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :thumb::thumb:
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  I tim 5:9
  msikate tamaa wajane mungu anawapenda na anaitaji muwe na wenza...mapema iwezekanavyo huzuni na maumivu si mapenzi ya mungu daima
   
Loading...