Hii imekaaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 2my, Sep 22, 2010.

 1. 2my

  2my JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipata hii nikaamua niwashirikishe!


  ............men wants 3 qualities in wives;economic in kitchen,artist in home & devil in bed


  bt they get;artist in kitchen,devil in home & economist in bed
   
 2. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  That's why we normally lie that we're satisfied with our wives. But, the truth is that we find different from our expectations..!
   
 3. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye red naona inaapply kwa infidelity mate.
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye Red muhimu sana. supply ikiwa kubwa sana bei itapungua; na ili ku-set high price (tukiamini high price means high value) demand inabidi iwe kubwa kuliko supply
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  khaaaa!?
  bora kuoa darasa la saba asojua formula hizi...lol!
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  asipojua hizo formula na supply ikizidi si utakinahi? thamani haitakuwepo tena, utaona kawaida tu
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mama hapo kwenye red paangalie vizuri, wakati wewe unasema atakinahi ,mwenzio anawaza ni wapi akapunguze rugugu na akipata kwa kupunguzia rugugu ni wewe utakayeanza kulia,usiwashauri hivyo wenzako.Na kwetu sisi watu wa imani imani tunaamini kuwa hapo hakuna kukinai wala makombo ni mwendo wa bafuni dakika tano akirudi kitu kipya.Tunakinai kitimoto na sio K
   
Loading...