Wanandoa wengi wapweke kuliko makapera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa wengi wapweke kuliko makapera

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 22, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  Yawezekana uko njian kwenye kufunga ndoa
  yawezekana bado unafikiri utaoa ama kuolewa lini
  yawezekana uko ndani ya ndoa lakini ujaona tofauti na maisha ya ukapera

  takwimu zinaonyesha wanandoa wengi hasa waliooana hivi karibuni na wanaoendelea kuoana wanaishi kwa upweke kwenye ndoa kuliko maisha ya ukapera
  wakiwa na simanzi baadhi ya wanandoa wamesikika wakisema kwa kweli ndoa ni kutoka kwa mungu lakini ndoa nyingi siku hizi zinalazimishwa nikimaanisha wengi wanaoana ama kwa kuwa wamekaa miaka mingi bila ndoa aka uzee ama wengine ni kuona washikaji wakila viapo na kuishia kuhudhuria sherehe za watu na kuamua na wao kutafuta mtu wa cap chap

  kwa maneno haya si kukwambia usiache kuoa ama kuolewa la hasha tafuta right husband or wife usiangalie how long uko bila ndoa angaliia je mume halisi wa miaka yangu 32 /35 amefika ni ni mtu sahihi ama mke wangu ni huyu sahihi huku mbele ukitanguliza maombi mungu akupe mtu sahihi si kazi ndoogo kama wanavyofikiri wengi kwenda kuapa kanisani na kurudi vyumban wakisakata disco..la hasha ni nini kittaatokea baada wiki ya furaha na nini cha kufanya hayo ndio mambo muhimu tunayotakiwa kuafikiria najua wapo baada ya harusi wanakimbizana kulipa yale madeni ya whisky na wine walizkopa kwa ajili ya harusi anyway hivyo ni vichache je baada ya madeni utaishugulikiaje ndoa yako kazi kweli kweli
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  Kaka mmoja alikaa pale kwenye kona ya rosegarden na kuangalia magari na kusema kwa masaa mawili aliokaa kila gari itakayopita ukiona mwanaume na mwanamke wanacheka ama kuangaliana kwa minajili ya kuongea ujue ma boy/girl friend akasema asilimia nyingi ya magari mwanamke alikuwa akiangalia upande wapili na kutamani kufungua mlango huku gari likitembea na kuomba kimoyoyo anafika nyumban saa ngapi..je hii ndio mapenzi ama agano la ndoa kweli??embu wanandoa tubadilike kwa hili ...najua vigumu kujua kama mnakaa vyumba tofauti ama lah uko ndani basi muanze na heri nje ndani mtakuwa salama
   
 3. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Napingaaaaaaaa.... ila kama ni kweli basi sio kwangu na namshukuru MUNGU kwa kunipendelea upendo ndani ya ndoa.... pia naomba mungu awasaidie wenye matatizo madogomadogo yanayopunguza upendo ndani ya ndoa YAISHE nao waishi maisha ya upendo mkuu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii imekaa kimahubiri fulani!...

  Ok, kuna percentage ya ukweli katika usemayo!
  Ni ndoa chache ambazo mke na mume huwa MARAFIKI!...Na asilimia kubwa ni zile zinazo'survive kwa mujibu wa sheria na hofu ya ndugu na marafiki, hofu ya watoto, na jamii ya kidini!
  BTW, its never too late....Any one can revive his/her relationship with a spouse and make it appear more FRIENDLY-TYPE than one undefined!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hili neno nilikuwa sijalisikia kitambo kweli
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mateso mengi yapo kwenye ndoa nanibaada yakuona raha nyingi zipo nje yandoa!!Natunakoenda tutaoana kwa mikataba ukiona vipi unaendelea kwingine!!Nazaidi tatizo hili limeanzia kwa wanaume!!Kimsingi wazuri sikuhizi niwengi kiasi chakufanya mishipa yangono ikae imesimama na kuilaza lazima ukacheat!
   
Loading...