Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo! Kazi kwenu!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Haya wapenzi wa shangilia ushinde nimerudi tena leo hii wacha tujiweke sawa na mambo yetu..wapo wengi wanapenda kuoga baada ya kufanya mapenzi lakini kuna mada moja imeongelewa sana tangu asbh...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Inasemekana mwanamke asiepata kichapo kizuri cha chakula ya wakubwa mara kwa mara huwa bitter........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati...
0 Reactions
125 Replies
10K Views
Uncle chriss ndani ya nyumba
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili swali najiuliza bado hivi ni kwa nini wanandoa sijawahi kuwakuta guest lakini kila nikifika enzi hizo nakutana na wezi wa ndoa ama wezi wa wachumba wa watu......bado najiuliza hivi nitamzaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yawezekaana unajiuliza nini hiihii ni sehemu ya malavidavi iko kunduchi hakika ni kama kijiji lakini ukiingiakwa ndani ni mabenzi basikeli bajaji zinawaleta wake za watu kwa ajili ya hukumu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona, hasa miaka ya karibuni... Wazazi wengi.. hasa wenye ukwasi... wanajitahidi kuwapa mazingira 'bora' watoto wao... watawafanyia kila kitu kiasi kwamba mtoto anakua kila kazi ya mikono...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The women who choose not to be mothers More women in the developed world are choosing not to have children. So why do friends, family, colleagues and even strangers think it's OK to question...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wapendwa si haba kumshukuru Mungu kwa uweza wake wa ajabu kwa kutfikisha hapa tulipo. Pili napenda nimshukuru Mungu kwa kunizalia mama mkwe ambae bila kujua akanizalia mwanae ambae leo hii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mpenzi anaekili kuwa ka-cheat mara nyingi huwa na mapenzi ya dhati, anajua kosa lake na pia anaumia kama unavyoumia wewe au pengine zaidi kwa kile alichokifanya na uwezekano wa yeye kurudia kosa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu wana JF mnisaidie maoni. Mimi nina GF wangu akikosea usimwambie, ukimwambia umekosea kufanya jambo fulani basi hapo atatafuta kila njia na namna na wewe uonekane kukosea ili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wa-JF Ningependa kupata mawazo yenu kuhusiana na mahali muafaka kwa ajili ya kuifanya hii kitu (kwa Tz).. Pia ni kitu gani wadada wanategemea.. Brothaz twatakiwa tufanyaje kuifanya iwe SPESHELI...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu, heshima mbele! Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa, akiniona tu anaanza kutapika na chumbani amehama kabisa! Kwasasa analala chumba cha peke yake! Kadri ujauzito unavyokuwa na yeye ndiyo...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habarini za leo!! Leo katika uchambuzi wa magazeti nimesikia kuwa huko Morogoro msaidizi wa kazi za nyumbani (famously known as housegirls) kamnyonga mtoto wa miaka wa miaka 2 na yeye kaishia...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
What happens to the Lipstick used by the ladies. 5% of the Lipstick is sticked to the cutlery. 25% of the lipstick goes to Tissue Paper & Cotton Tabs at the time of removeing the Make Up...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
have you come across this thinking? Before Marriage / After Marriage Before Marriage - - - He: Yes. At last. It was so hard to wait. She: Do you want me to leave? He: NO! Don't even think about...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kumbe sometimes mafumbo ya kimapenzi kwa watoto ni muhimu ee!!, kuna jamaa humuhu jf simtaji jina alinipa stori moja anasema kila akirusi kwake anakuta watoto wake hawajalala wanaangalia...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Ahhh imebidi niseme hii....... Wakati inafahamika kuwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja tu its unnatural.....cha kushangaza suala la mwanamke kuwa na mke zaidi ya mmoja nalo ni linachukuliwa kama...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wale wenzangu na mie wanandoa kuna ile hali kipindi cha uchumba na kipindi cha ndoa kabla ya kupata watoto na kuwa na wafanyakazi ndani ya nyumba kuna zile za kukumbatiana au kupigana mabusu...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
mke bora ni yupi kati ya hawa? anakufuata kila mahali, anakupigia simu za kukuuliza uko wapi na una fanya nini, anakukataza baadhi ya marafiki, anakukataza bia na sigara, ana wivu sana juu yako...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom