Msaidieni uyu dada jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaidieni uyu dada jamani.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vivica, Sep 20, 2010.

 1. Vivica

  Vivica New Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Niko njia panda naomba ushauri jamani. Nilikuwa na rafiki wa kiume ambae kwa sasa siko nae, kisa ni siku moja alikuja kwangu kunitembelea akaondoka kwa minajili kuwa aenda kwa kikao cha harusi. Ili kuhakikisha mwenzangu kafika nyumbani salama nikapiga simu kwa bahati mbaya sikumpata. Kesho yake nikamuuliza kulikoni mbona ukuwa hewani ayo majibu yaliotoka apo acha,summary yake ni kwamba sikutakiwa kumuuliza chochote juu ya simu yake, nikajishusha sikutaka tujibizane nikaomba msamaha yaishe. Since then ukimpigia hapokei, msg hajibu, email hajibu nashindwa kumuelewa kwa kweli, kama kaniacha si aseme o anataka nn mie sijui. Hapa niko njia panda sijui nifanyaje, nimvagae nimuulize ni nn o nimwache kama halivyo, naomba ushauri!"

  mnamwambiaje wana JF
   
 2. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hujui kusoma alama za nyakati dada. Wewe anza moja. Kiota kimebomoka tafuta namna ya kujenga kiota kingine. Kikao cha harusi kimezua balaaaaaaa, Pole sana
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  simu ya mkononi hiyo!
  Labda na we umezid kum'track jamaa!...mpe uhuru basi, hisia zikiwa too much inaboa!
  Kama hakujibu kitu, we zama hapa jF, usome mada za siasa na uchaguzi, siku zinapita, by ze tym uchaguzi unaisha ushapata mtu nyumba ya jirani!!
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mpe nafasi awaze yote ambayo huna majibu nayo. labda ana anayoyafikiria. usimsumbue kwa kipindi hiki kwa simu, sms wala email. after 2 weeks kama hajawasiliana nawe then umtafute.
  Kama kweli anakupenda na anajua huwasiliani naye sababu ameku-shut out atawasiliana nawe as soon as he comes to his senses
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ukiangalia trend ya mambo jinsi yanvyoenda mwenzako ana interest na wewe tena hiyo ni njia ya kuchanja mbuga kwenda kwenye himaya nyingine kwahiyo hapo kusanya kilichochako then start afresh hamna mapenzi hapo
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa nini awe njia panda? Kama mlango wa kushoto umefungwa, atazame kulia maana mlango utakuwa wazi....! Hivyo, achape zake mwendo bana...!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Dah yaani na msamaha umeishaomba lakini mshikaji bado tu kama vipi angalia kushoto kulia kisha chapa lapa kuna watu wengine wanapenda kuwanyanyasa wenzao linapokuja suala la mapenzi hauwezi hadi unaombwa msamaha lakini still bado unaendelea kutingisha kiberiti thats too much.
   
 8. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yani kwenye urafiki tu unapewa masharti? ikifika next level je na ndoa itakuwaje?
  yani huyu hana mpango nawe japo hajakuambia ndio ameshakuacha, si wajua tena akufukuzae hakuambii toka!
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mrembo usipoteze muda kwa kuwa njia panda mwisho utapata kizunguzungu uanguke bure,,angalia mbele coz inaonyesha jamaa hana interest na wewe tena love is two way traffic kama wewe tu ndo unatoa mpendwa shtuka and move on
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  hapo hakuna mapenzi tena,na hizo ndio dalili za kuwa huyo mtu hakutaki tena,jaribu na wewe kukaa kimya,usimtafute kwa njia yoyote .ile.Wanaume wengine wanapenda kujifanya wao ni muhimu sana
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Huyo sio wako tena.....Hata akirudi atakusumbua baadae kwenye mahusiano nyeti zaidi.Mshukuru Mungu amekufunulia mapema na mwombe akupe wako..
   
 12. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  zingatia hapo kny red na mengineyo ambayo yanaweza kukukip busy n forget HIM
   
 13. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nitumie personal meseji tujadiliane, nitakusaidia na hautapata shida
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  watu wengine kuachwa mpaka wafungiwe novena...mbona huyo mkaka kashamuacha kuanzia hiyo cku mdada alivyohoji?
   
 15. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa nini usimjibu hapa kwenye bandiko lake. I know what you are looking for! Usitumie weakness ya kuachwa ghafla ndugu! Mpe ushauri hapahapa
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Stuka:becky::becky:
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hapo dada nakushauri, bora uangalie ustaarabu mwingine. Huyo jamaa hana mpango na wewe! Jipe moyo! Ndiyo maisha hayo!

  ***Pia inawezekana huyu jamaa hajui kitu ila huyu mhudumu alimpenda na akaamua kufanya hivyo make anajua atakwenda kuulizwa na mkewe, basi ndio atakuwa amempata labda kwa namna ya kumkomoa!
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  CBZ naona umechanganya hii topic na ile nyingine
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Mbona anakusumbua akili hapo anza kufikilia upya maisha yako bila yeye..pole sana ni vijimambo tu vya kwenye mahusiano shurti kuvikabili
   
 20. k

  kisukari JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Bi dada unaonyesha huyo mtu unampenda sana,swali lako umeenda kulipeleka kwengine,na wengi wamekushauri huyo mtu hana mapenzi na wewe.Bila shaka umeamini maana kupenda kubaya
   
Loading...