A'more | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A'more

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Sep 22, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nausikiliza huu wimbo hapa ofisini na unanipa hamu ya kufanya kazi. Shukrani kwa mwimbaji kuyatendea haki maneno yaliyomo ndani ya wimbo huu. Kaimba vizuri sana. Shukrani pia kwa mtunzi wake-Father G. Huyu bwana katunga nyimbo nyingi sana zilizovuma. Ni wakati sasa kuwaenzi watunzi wa nyimbo badala ya waimbai pekee. Tunzo hazitoshi.

  Katika wimbo kuna baadhi maneno matamu kama hivi;
  Na ukigusa moyo wangu ni wewe
  ulobeba nafsi yangu ni wewe
  huna wewe bila mimi, A'more
  ulimwengu wote wajue ya kwamba ni wewe
  A'more x5

  usiumwe usiugue, uwe mzima daima
  usisikize ya watu penzi letu kulitupa
  na usibadili kipimo cha mapenzi unayonipa

  sitokutoza ushuru, nitawale mi ni wako
  pesa nyumba nayo gari si mali kitu kwangu
  hata niwe jangwani wewe ni maji kwangu
  una mapenzi ya kweli yao wote ya bandia....


  sasa katika hili pamoja na maneno mazuri kwenye wimbo, ageutunga mwanamke ningefarijika zaidi. hii ni hali ya mwanaume anayeusemea moyo wa mwanamke. kwamba mwanaume anataka mwenza wake awe vipi.

  ewe mwanamke;
  ni kweli hutonitoza ushuru?
  ni kweli pesa nyumba, magari si mali kitu kwako?
  ni kweli mapenzi ya wengine ni ya bandia?
  ni kweli nimebeba nafsi yako?
  ni kweli ulimwengu wote wanatambua ni mimi pekee?

  i wish ingekuwa hivi
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Singles bana...kaaaz kwelikweli!....Kwa mtu kama mimi nishamalizana na mamii mapema asubuhi, muda huu ni kuwajibika na mkoloni!...Taratibu broda, utatulia muda mfupi baadaye!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ah kaka hii postt imebeba jumbe mbili muhimu
  1. Ulishamalizana na mamii asubuhi- lucky her (hahahahhah)
  2. Umri umekwenda (namaanisha umri wa ndoa) so kijana akikomaa ndoani ataona ni vya kawaida sio?

  Mzima lakini?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Dadaangu, mi ni mzima, and iam so happy to come to the notion that you are fine!....Pole na kuchoka, but nadhani with any lucky umepata 'massaging'!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  Nazikubali sana comments zako.
  Ndaga fijo malafyale
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu suala hili halina kumalizana. ni suala la kuendeleza pale ulipoachia kila wakati la sivyo wataendeleza wengine
   
Loading...