Mume wa mtu anapenda kunusa chupi yangu niliitumia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume wa mtu anapenda kunusa chupi yangu niliitumia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mama Big, Nov 5, 2010.

 1. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu baba (mume wa mtu) vipi jamani simuelewi kabisa kila mara tunapokutana katika mavituz yeye huja na chupi mpya na kungangania kuondoka na ile niliokuwa nmevaa.... wakati mwingine hupenda hata nivae chupi kwa siku mbili kisha nimpatie yeye... nilipo muuliza kwa nini anataka husema anaiweka katika droo lake ofisini na kuinusa kila mara na wakati mwingine nazikuta kwenye gari lake....

  Inashangaza sana kuona mtu hasa mume wa mtu kutamani chupi hata kama nampa mavituzzz, majambozzz sio kwa kiasi hicho mshaurini aache
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaaha mama Big bana akinusa mwenzio mzuka unashuka pindi unapo kuwa mbali anapenda harufu yako
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mama Big:

  Umeathiriwa na mwenendo wa upigaji kura au kuna tatizo lingine ulilonalo?

  Post zako zinaongelea zaidi sehemu za siri na mifuniko yake::: chupi, ******, e.t.c::: Kulikoni?:doh:
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hapa unamaanisha mme wa mtu huyo yupo hapa hapa ngoja tusubili atajitokeza tu
   
 5. C

  Challenger M Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata mimi napenda harufu ya chupi inatia hamasa
   
 6. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baba Enock mi leo issue kwangu ni chupi tuuu
   
 7. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamasa hamasa hamasa..... read btween lines :nono:
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Dah

  ehh...

  Duh
   
 9. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na maanisha mume wa mtu...ji baba... babaaaa... anayenunua huduma....anaependa kuvua samaki...anayefukua tanzanite ya mama kubwa
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kha umenichanganya kabisa hapo umeniacha kwa Mtogole
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  :tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::whistle::whistle::whistle:
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Naomba tafsiri, baba gift hebu leta dikshenare hapo.
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :doh::doh::doh::doh::doh::doh:
   
 14. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama haitumii hiyo nguo kukuloga/kukulimbwata hakuna ubaya.
   
 15. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Huyo ana pepo la ngono, kunusu mikojo ya mama big!
   
 16. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fide180 or Fide 360.....
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  etieeee!! orait.
  Fidel, umesikia? endelea kuondoka nazo tu!
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwambie awe anaenda mgodini kwanza kuangalia kama Tanzanite zipo akizoea hali hiyo ataacha tu kunusa
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee muda si mrefu naiona hii nayo ikienda Jukwaa lileee
   
 20. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Big Mama mbona hivi? Hayo yako ya siri mbona unayaweka hadharani? Kwanza ni tabia gani ya kutembea na waume wa watu na kujisifia kuwa unauza huduma? Tukueleweje Mama Big?

  Mimi sikuelewi kabisa. Na huyo jamaa anayekubadirishia chupi na kuziweka ndani ya gari naona ameichoka ndoa yake. Labda anawapelekea wazee wa busara wakuchakachue!!!!!!!!!!!!!!!!! Ahahahaha!!!!!!!!!! On a serious note .... ujue unalofanya sijema ndani ya jamii hivyo nakushauri acha mchezo huo ni Hatari kwa afya na Usalama wako.
   
Loading...