kobonde
Senior Member
- Jan 6, 2010
- 154
- 19
Hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo alizipu mdomo wake,lkn sasa naona kaanza tena.Mtu kama huyu dawa yake nini? yaani ananikera naona kama anataka anialibie familia yangu.