Natafuta rafiki wa kike

Mi ni mwanafunzi wa chuo cbe dar ,natafuta rafiki wa kike/mpenzi aliye tayari tuwacliane 0715813240 .tuma sms

fafanua kidogo unataka kike ya namna gani, mke, nyumba ndogo, changudoa, shangingi, kahaba, hawara, mchumba au pass time?
 
KWANI HAPO CHUONI HAWAPO MPAKA UJE HUMU?
KAMA UMESHINDWA KUPATA UNAOWAONA HUKU KWA AKINA INVISIBLE UTAWAPATA?
tehe ee tehee hureeeeeeeeeeeeeeee
 
Mi ni mwanafunzi wa chuo cbe dar ,natafuta rafiki wa kike/mpenzi aliye tayari tuwacliane 0715813240 .tuma sms


unatakiwa ueleze kidogo unataka aweje...??

na wewe jieleze kidogo jinsi ulivyo...
 
Mi ni mwanafunzi wa chuo cbe dar ,natafuta rafiki wa kike/mpenzi aliye tayari tuwacliane 0715813240 .tuma sms
Kama alivyojieleza huyu Danp36 mwanafunzi wa chuo cha cbe anatafuta Rafiki wa kike au Mpenzi aliyekuwa teyari awasiliane nae huyo mkuu Danp36. mimi pia nakushauri kabla ya

kutafuta huyo rafiki wa kike kwanza kabisa nenda hospitali ukapime Ukimwi kisha uwe na hicho cheti cha ukimwi kuthibitisha wewe huna ukimwi ndio hapa waweza kupata huyo rafiki wa kike.
 
Nadhani hatuna sababu za kumshambbulia huyu jamaa. Huenda anatafuta msichana JF kwa kuamini wasichana wa humu wana uwezo fulani (mkubwa) wa kufikiri na kuamua kuliko wengine wengi awaonao. Experience (yangu) inaonesha kuwa wasichana wengi hawana au wanajinyima uwezo wa kuamua, ni wepesi wa kusema, "Poa tu, we ndiyo....." wengine hatupendi wasichana wa namna hii.
 
ahhh we nawe!
umeshindwa kupata rafiki wa kike CBE?sasa utampata wap tena??
wenzako wooooootre mjin apa kama wanashida ya marafiki wa kike wanakimbilia cbe...apo wapo kibaoooooooooooooooo ...sasa kkm apo pia umekosa dah sa itakuwaje?ebu nenda jollie apo kidg kachek au nit ivi njoo mitaa ya kndon m sure u wl get em ata 10 poa utapata
CBE NDO SOKON sasa km aujawapata sokon unataka wa dili?mmh aya
 
Piga Book Kwanza, au ndo kazi na dawa? manake kuna baadhi ya watu mpaka wachakachue kwanza ndo shule inakwenda.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom