weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni...
Wadau habarini ya majukum ya hapa na pale, jamani nimekuwa nikipatwa na wivu sana nikiona rafiki zangu wakiwa na watoto wao mapacha, hivi kuna njia yeyote ya kuweza kupata watoto mapacha au ni...
Jamani wana JF hasa katika safu hii, sasa niombe tu utaalamu wenu kuhusu yepi ya msingi sana katika kufanya ndoa iwe imara daima.
maana kuna yale ya chumbani, mitoko, mishiko na mavazi. sasa je ni...
Asalaam aleikum, bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, kristo, mambo vipi wanaJF natumai mmeamka salama. Jana nimekutana na mkasa kwani huku nilipo kuna sehemu inaitwa uwanja wa fisi akaja nsichana...
Jamani duniani kuna mambo
Kuna wanaume/wanawake wenyewe ni viraka vya mapenzi
Penzi na mwenzio likitoboka tu na usipo wahi kuliziba tayari kiraka anatia timu na kuziba
Tatizo rangi ya kiraka sasa...
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida...
Nachanganyikiwa hapa, ivi sikuhizi akinadada ni hale tu ndio muhimu kwenu ......:sad:
Katika kumtafuta the significant other (yaani mke). Nlikuwa namsikia anti hapa
Analonga na mwenzie...
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata...
Nijambo la kawaida siku hizi kuona mwanamme kuwana mahusiano nje ya ndoa yake vyihivyo kwa mwanamke kuna mahusiano ya nje na mwanmume ali kadharika kwa wapenzi mwanamke anakuwa na boyfriends zaidi...
Demu anayepiga kilaji (pombe) kwa sababu
1. Ni rahisi kumchakachua
2. Hushea mazungumzo na kuwa muwazi zaidi wakati kilaji kimekolea
3. Hupoteza aibu hasa wakati wa majambozi
4. Huzidisha mayowe...
Father arrested for defiling daughter
Source: http://www.dailynews.co.tz/home/?n=14418&cat=home
From MARC NKWAME in Arusha, 10th November 2010
A 50-year-old resident of Usa-River in Meru...
where to dedicate our love when and how? je ni kwa watoto baada ya vurumai nyingi za maisha na mwandani au huko ndo kutaka kuwa chizi siku moja maanake kuna wakati u feel like there is something...
Kama upo kwenye uhusiano halafu haujisikii amani kufanya yale yaliyo sahihi tambua kuwa hapo unaburuzwa kihisia,mfano mpenzi wako akikukosea unaogopa kumwambia kwa kuhofia atakuacha tambua una...
Mtu una mke wako wa ndoa halafu pia una nyumba ndogo nzuri tu kama kawaida! Lakini kwa nini ukipima gharama za undeshaji hizi nyumba unakuta ile ndogo ndo yenye matumizi makubwa sana! Lakini mzee...
Wadau sio kwamba sijui madhara yake,...najua sanaaaa!
Nimeshauri watu na kuwafundisha madhara yake mara nyingi,ila mie nashindwa kuacha.
ikitokea nimeacha basi ni week moja basi narudia...