Asalaam aleikum, bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, kristo, mambo vipi wanaJF natumai mmeamka salama. Jana nimekutana na mkasa kwani huku nilipo kuna sehemu inaitwa uwanja wa fisi akaja nsichana nmoja na kuketi nasi baada ya muda kadri kinywaji kinavyoendelea kushuka akaanza kuntongoza kijana aliyekuwa jirani na meza tuliyokuwa tumekaa akamwambia 'aaiii bwana weewe! Kunyima mwenzio kidude ulichopewa na mungu bure dhambi' na akamngangani yule jamaa npaka wakaondoka wote..duu inasemekana huku huhitaji kuchangia ili upate huduma kila kitu buree wapelekwa nyumbani wapikiwa samaki nchanga na vituzz na majambozz free of charge...itabidi nikirudi nitoe somo kwa dada zetu wale wa ntaa wa uhio na kwingine