Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni maana wewe una mume na watoto wazuri tu kwa nini unafanya ivi akaniambia kibamia cha mr ni kidogo hamridhishi nilishtuka nikaamuuliza huyu mtu hukuanza nae jana au leo ni siku nyingi na kwa hiari yako ukafunga ndoa na watoto mkapata kwakweli hakunipa majibu yanayoeleweka nimekaa na kujiuliza maswali mengi sasa mbona hata huko nje nako anabadili kila siku kulikoni naombeni mchango wenu nduguzi nimsaidie huyu dada angalau kwa mawazo nawaonea zaidi huruma watoto wake ni wadogo sana