kuna mambo mengi miongoni mwa hayo ni
1) kuwa na pesa za ziada au zisizo na kazi
2)ujinga, ushamba, kujifanya wewe ni mkali, ulimbukeni, kukosa heshima kwa mwenzio na kwa jamii kiujumla, wehu,kutojua responsibilities zako,
3) Heshima zilizopita kiasi kwa mke wako, yaani mnakuwa hamko free kabisa kwa kila mtu, Hamongei kitu kingine chchote zaidi ya famila tu, hamchekeshani, hamtaniani, hakuna ubunifu (kila mtu anamwogopa mwenzie atamwona mala*a) kitandani,
4) kuoa kusikokusudiwa-ndoa ya mkeka, kuchaguliwa mchumba, umeoa kwa sababu ulimpa mimba,
5) kuchokana/mke kupunguza mvuto- kunenepa kuzidi kiasi (kama jamaaa ni mpenzi wa miiba na alikuchukua ukiwa Kiportable), Mwanamke kupoteza unadhifu aliokuwa nao(uvaaji, ujipambaji)
basi sababu zipo nyingi mno ambazo zinawafanya watu kuendelea na nyumba ndogo ili hali gharama ya uendeshaji ni kubwa
......and men's nature usisahau!!!We were born to cheat, cant blame us its the hormones teh!!!kuna mambo mengi miongoni mwa hayo ni
1) kuwa na pesa za ziada au zisizo na kazi
2)ujinga, ushamba, kujifanya wewe ni mkali, ulimbukeni, kukosa heshima kwa mwenzio na kwa jamii kiujumla, wehu,kutojua responsibilities zako,
3) Heshima zilizopita kiasi kwa mke wako, yaani mnakuwa hamko free kabisa kwa kila mtu, Hamongei kitu kingine chchote zaidi ya famila tu, hamchekeshani, hamtaniani, hakuna ubunifu (kila mtu anamwogopa mwenzie atamwona mala*a) kitandani,
4) kuoa kusikokusudiwa-ndoa ya mkeka, kuchaguliwa mchumba, umeoa kwa sababu ulimpa mimba,
5) kuchokana/mke kupunguza mvuto- kunenepa kuzidi kiasi (kama jamaaa ni mpenzi wa miiba na alikuchukua ukiwa Kiportable), Mwanamke kupoteza unadhifu aliokuwa nao(uvaaji, ujipambaji)
basi sababu zipo nyingi mno ambazo zinawafanya watu kuendelea na nyumba ndogo ili hali gharama ya uendeshaji ni kubwa
Mtu una mke wako wa ndoa halafu pia una nyumba ndogo nzuri tu kama kawaida! Lakini kwa nini ukipima gharama za undeshaji hizi nyumba unakuta ile ndogo ndo yenye matumizi makubwa sana! Lakini mzee huambiliki unaendelea kutwanga kotekote
Nini tenaaa yakheee?