Natafuta wa huba

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,426
1,456
Jamani namtafuta mwenza mwenye kunishauri juu ya mazur au mabaya nayotaka kufanya please email yangu ni kokudopeter42@yahoo.com
 

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
Unatafuta mtu anaitwa HUBA au ? Rose nisaidie
anatafuta huba la moyo wake
liwazo la moyo
nyonga mkalia ini
kidevu msimamia ndevu
kwapa mbeba...a

..
anatafuta wa uban wa kumpepea maruahan yakimpanda..
AU AENDE KWA MAM BG ..ET FINEST....???:doh::doh:
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,970
anatafuta huba la moyo wake
liwazo la moyo
nyonga mkalia ini
kidevu msimamia ndevu
kwapa mbeba...a

..
anatafuta wa uban wa kumpepea maruahan yakimpanda..
AU AENDE KWA MAM BG ..ET FINEST....???:doh::doh:

Bado huyu yuko kindergaten
 

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
kweli uyu anaonekana ni wa mabata madogo madogo yanaogelea.....!!!!!!!!!!
 

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,264
191
Hiyo invitataiona haijakamilika, we me/ke? kama me ni bwabwa au bahshaa?
 

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,426
1,456
Jamani am male age 27 alie tayari please email yangu iko waz ok thanks wote mliochangia nimezpenda sana
 

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,426
1,456
Jamani am male age 27 alie tayari please email yangu iko waz ok thanks wote mliochangia nimezpenda sana
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom