yupi mwenye afadhali

Zneba

Senior Member
Joined
May 12, 2010
Messages
192
Likes
0
Points
0

Zneba

Senior Member
Joined May 12, 2010
192 0 0
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.
 
Ferds

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
1,267
Likes
27
Points
135

Ferds

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
1,267 27 135
Kwani we mapenzi kwako yana nje na ndani, basi we ni hatari, mama no one is perfect, kila mtu Mungu kamjalia chake, kumfikisha mwanamke, c mikito tu bali ni ushirikiano mzuri kati ya mke na mme panapo sita kwa sita na mawasiliano yako kwa mmeo ndio yatakufikisha unapotaka kwenda, so bora ukachukua alie mbovu kitandani na ukamfundisha ili akufikishe coz atakujali zaidi ukimuwezesha kuwa mwanaume kamili na atimizae majukumu yake, kuliko yule ambaye hana tyme, yaani ujue hapo wewe ni begi tu sasa utachagua kukaa mgongoni au kuburuzwa upo hapo bi mwasu
 
Rose1980

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
5,701
Likes
30
Points
0

Rose1980

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
5,701 30 0
wwa kwanza wa ukweli
uyo wa pili ni mfanyabiashara maungo km makahabatu ..yeye yupo kikaz zaid ..anakuap ILEILE
uyo wa kwanza ni jambo la kuongea tu
ukienda nae hosptal kuna vtu vya kufanya na anakuwa trained then km kawa...
si tatizo saana ilo ili mrad tu km anadi.......so kuwa makini achana na uyo wa pili
wewe pia unaweza kumsaidia kwa kumfanyia a b c d ili asiwai kwenda kilimanjaro......POLE
 
Zneba

Senior Member
Joined
May 12, 2010
Messages
192
Likes
0
Points
0

Zneba

Senior Member
Joined May 12, 2010
192 0 0
nimekupata ferds bt nje na ndani nikiwa na maana ya kitandani na upande mwingine ni huo wa kubembelezwa nje ya kitandani nadhani umenielewa
 
chiko

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
473
Likes
14
Points
35

chiko

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
473 14 35
Huyo wa kwanza , MZUNGU( Mapenzi ya kushikana shikana, masimu kila mara, kumfungulia bibie mlango wa Gari.........Kazi ya sita kwa sita sahau!!!!!!

Wapili huyo, JIAFRIKA( Kazi kwa sana, hadi nguo kuchanika!!!!, lakini mambo ya kushikana shikana jikoni, Hallo darling... kila baada ya dakika kumi hamna)

Chaguo ni lako Mama!!!!!!!!
 
Zneba

Senior Member
Joined
May 12, 2010
Messages
192
Likes
0
Points
0

Zneba

Senior Member
Joined May 12, 2010
192 0 0
wwa kwanza wa ukweli
uyo wa pili ni mfanyabiashara maungo km makahabatu ..yeye yupo kikaz zaid ..anakuap ILEILE
uyo wa kwanza ni jambo la kuongea tu
ukienda nae hosptal kuna vtu vya kufanya na anakuwa trained then km kawa...
si tatizo saana ilo ili mrad tu km anadi.......so kuwa makini achana na uyo wa pili
wewe pia unaweza kumsaidia kwa kumfanyia a b c d ili asiwai kwenda kilimanjaro......POLE
nimekupata rose mana mambo magumu haya na yanasumbua mno kwakweli
 
Ferds

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
1,267
Likes
27
Points
135

Ferds

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
1,267 27 135
Re: yupi mwenye afadhali

Huyo wa kwanza , MZUNGU( Mapenzi ya kushikana shikana, masimu kila mara, kumfungulia bibie mlango wa Gari.........Kazi ya sita kwa sita sahau!!!!!!

Wapili huyo, JIAFRIKA( Kazi kwa sana, hadi nguo kuchanika!!!!, lakini mambo ya kushikana shikana jikoni, Hallo darling... kila baada ya dakika kumi hamna)

Chaguo ni lako Mama!!!!!!!!
uciingie chaka la mzungu utakimbia shauri yako
 
chiko

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
473
Likes
14
Points
35

chiko

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
473 14 35
mmmh utata mtupu hapo chiko
Ukweli tuseme jamani, Wajua hizi Sinema za kimangaribi ndo za tudanganya, oooho hanipigiii simu kutwa nzima.... likifika nyumbani hata kiss hamna, Baada ya shughuli, hamna hata asante.......... Sisi waafrika bana, maadili yetu hayakubali.
 
Ferds

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
1,267
Likes
27
Points
135

Ferds

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
1,267 27 135
vitu vingine ni vya kiustaarabu zaidi, huwezi kukaa kmasaa cku nzima hujajua hali ya mwandani wako inakwendaje, acha hayo mambo ya cnema hii ni ki2 nachoro(kiswahili zaidi) jitu hata asante halijui, kunavitu vingine suna bwana japo si fundermental ktk mapenzi ila vinakoleza penzi au sio mwasu
 
Ngo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Messages
284
Likes
3
Points
0

Ngo

JF-Expert Member
Joined May 25, 2010
284 3 0
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu
wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.Masuala ya kukufikisha kileleni lazima uwe muazi kwake, akuandae na kumwambia ni kipi akifanye uweze kufika hapo kileleni. Mwambie ajiamini na asiwe na papala kwenye hilo tendo. Apunguze speed na asikamie saana maana kwa kufanya hivyo atakuwa mbinafsi yeye kunufaika wewe ndo baado. Ajitahidi kupumlia mdomoni zaidi kuliko kufumba mdomo na kupumlia puani inasaidia kuufanya mwili wake na viungo vya sehemu nyeti ku-relax na kukawia kumaliza. Acha ukimya kama unampenda na unaona anaweza kuwa mwanandani wako. Si wote wanaume wanacare, hiyo ni huruka/Inborn ya mtu. Zaidi, maamuzi yako mikononi mwako.
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Messages
2,470
Likes
23
Points
145

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2009
2,470 23 145
wwa kwanza wa ukweli
uyo wa pili ni mfanyabiashara maungo km makahabatu ..yeye yupo kikaz zaid ..anakuap ILEILE
uyo wa kwanza ni jambo la kuongea tu
ukienda nae hosptal kuna vtu vya kufanya na anakuwa trained then km kawa...
si tatizo saana ilo ili mrad tu km anadi.......so kuwa makini achana na uyo wa pili
wewe pia unaweza kumsaidia kwa kumfanyia a b c d ili asiwai kwenda kilimanjaro......POLE
Oy....Oy...Oy...
 
ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,062
Likes
565
Points
280

ENZO

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,062 565 280
kuwa na wote wawili ndio mpango mzima.ukitaka mipesa,zawadi,simu every tym unapata na ukitaka magoli 8 kitandan unapata.
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
6,850
Likes
1,127
Points
280

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
6,850 1,127 280
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.
Mbona mi niko caring kwa kila kitu na bado kitandani niko fit,hivi kuna watu ambao wanakosa sifa hizi,anyway wacha niwasome wachangiaji.
 
Forum statistics

Threads 1,204,909
Members 457,584
Posts 28,175,325