Mshiko au elimu kidada nijuzeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshiko au elimu kidada nijuzeni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GFM, Nov 9, 2010.

 1. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nachanganyikiwa hapa, ivi sikuhizi akinadada ni hale tu ndio muhimu kwenu ......:sad:
  Katika kumtafuta the significant other (yaani mke). Nlikuwa namsikia anti hapa
  Analonga na mwenzie ………. Yule jamaa lofa tu, mie siezi kula vitabu ........

  Kama hana mshiko achape lapa ………. Sasa jamani si mtatufanya tuwe majambawazi :thinking:
   
 2. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahhaa kaka we are out of ujambazi wako na shughuli yoyote utakayienda kuifanya the thing is money kwan without m.o.n.e.y maisha yatakwendajeeeee mjomba, saka pesa upate heshima ya kiume sio kungaza sharubu mtaaani mi demu wangu vile hivi. no money no respect no mademu wa ukweli.:yield:
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....Mie kwangu mshiko na elimu vyote muhimu.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwan uliwaskia wakiongea mkiwa wap?
  isije ikawa ulikuwa upo jollie au kwa kina mwajuma hamis njoo...wao wapo kibiashara zaid...
  -mie cha muhimi kwangu ni urithi wa babu+heshima
  ela na eli,mu vitatafutwa in case nilimkuta hana
  bt kuweka front pesa mmhh au sijui maelimu ahh apana
  -nimechek kwa kina maprofesa weeeeeeeeeeeeng hawanaga mahusiano mema na hawajui kitu cha mapenz
  -wenye mapesa pia hawana mapenz ya kweli weng wao...(wanadhan ukiwa nao umefata pesa au maisha mema na kuanza kukudharau automatically..)
  -MTU KM WEW kwa mwez anapokea laki na 80 ndo wa ukweli mtaenda sawa...akizifuma apo mbele fresh tu akikosa ili mradi wa jan'gombe naupata kwa kina bas si issue ni mahaba mapenz kwa rrrrrrrrrrraha zetu!!!!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhhhh bwana

  kila msichana ni tofauti....
  Na kila mchichana anajua anataka boyfriend/fiance/husband
  awe na nini.....
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  ........lakini wengi wanapenda mtu aliye na pesa.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wengi na sio wote hapo nakubalina nawe
  binafsi sitaki mtu aliye na pesa nyingi kuliko mimi
  hahahahahahah :smile:
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
  ninin?katika ndoa?katika uimara wa mapenz?katika mapenz ya kweli?
   
 9. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rose bibie eti pesa ni nini, shost ki ukweli bila pesa ndoa haipo
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwan mtu wakat anatoa maneno mazuri ya kukufanya uwe /ujiskie mwanamke apa dunian ANAITAJI KUWA NA PESA ILI AJUE AONGEE NINI?

  -KWAN PALE KWA KITANDA WAKT MNARUSHANA KICHURA CHURA MTU ANAKUWA KASHIKA BENK STATEMENT MKONON?ASI MNAKUWA WOOOOOTE MPO UCHI....au km hana pesa basi ata muhogo wake pia unakuwapungufu?hakufikish?
  LAKIN INATEGEMEA UNATAFUTA NINI kwa ndoa/mwanaume..km unatafuta hifadhi /maisha mazuri poa kigezo cha pesa kinamata..kuna rafikikasema hatakuja kuolewa na mwanaume asiye namastaz/mshahara wa chin ya ml 3 kwenda juu...namuhurumiaga sana

  ---mimi akismama mlalahoi mwenye utu vs tajiri mwenye dharau ni bora nkampa maskin
  -ni bora ulale njaa uku umekumbatiwa kwa bashasha kuuubwa nma maskin mwenzako kuliko KULALA UMESHIBA PIZA,SJUI HAMBAGI SJUI NINI ULIPELEKWA DINA MOVNPK UKU UBAVUNI MWAKO YUPO MWANAUME ANAKUSIMANGA...tena saa ingine ata hayupo usiku kucha yupo ukoooooooooooo na wengne ...wewe asi anajua ulifata maitaji so ashakulisha ashakupa key ya gari basi inatosha.....MMHH:nono::nono::nono::nono::nono:!!!!

  ---ingawa wanaume wana kasumba moja...ukianza nae akiwa majalala siku akipata tegemea kuzarauliwa na kunyanyaswa as wel si km kutafuta mwanamke mwngne wa kutumbua nae vile mlivyochuma............
   
 11. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo hela hazina muhuri zimepatikana vipi .......... :smile-big: majambawazi na wezi wa magari hapa mtaani kwangu ndio wanachukua vigori :A S cry:
   
 12. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hela za elimu zinachukua muda kupatiakana ...... sijui ussubirie upande cheo ............ au mpaka hii consultancy firm ichanganyie hapa ........ na nyie hamna subira .......... tufanyaje?:thinking:
   
 13. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haya unayosema ni ya kweli lakini hayafanyiki ....... na ndio maana mkiingia anga za mwenye nazo huwa hawawajali maana
  hela mmezikuta .......... hamkuchuma wote
   
 14. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanaojua wanachokitaka wanahesabika ndugu yangu, wakishaanza mashindano hapo ya sijui mavazi, sijui unaendesha gari gani ......
  Petra uko wapi? nimeshapa ile rangerover nyeusi uliokuwa unaitaka ........:smile:
   
 15. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :smile-big::smile-big: lakini hii pesa ni lazima umkute nayo mwanamme? au mnachuma wote
   
 16. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  ROSE 1980

  Salaam,,,,,,sidhani kama mabinti hao wapo siku hizi,,,,,,,no mshiko no mapenzi,,,,,,,,kuna jamaa wangu alikuwa graduate alikuwa analipwa laki na 80 mbona binti alimkimbia mchana kweupe????Jamaa ilibidi ahame nchi,,,
   
 17. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Karibu wote ndugu yangu ..............:sad:
   
 18. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa ................. unanyanganywa kitu chako hivihivi ............:sad:
   
 19. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hapo red ndo penyewe yani nibora umkute ana pesa akunyanyase wala roho kuuma ni kidogo ila nakushauri rose rose kama unasikio sikia dont ever evrer lasting kumpenda mwanaume fukara they know how to pretend that u have never know in this world yani ni wabaya kupita kiasi ni bor umkute na pesa yake, yani huwa wanabadilika paka weweza kufa kwa presha ndani naongea nikimaanisha siwezi kuwa na mwanamume asiye na pesa mimi nilishaapa go to hell wacha waninyanyase kwani si pesa zao......isitoshe naweza kujilisha bwana, sex machine zipo :yield:
   
 20. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakuchakachua mi nilidhani mkizisaka kwa pamoja atakuwa na huruma/aibu kukunyanyasa
  maana kila mtu hapo gezaulole anajua mlikuwa vipuku mlipokuta ........ a mi naona wewe
  tamaa yako :thinking: na wengine huku niliko huwa wanawaua wakino wamewachoka ...........
  afadhali nyumbani tunachepuka na kurudi jioni ..........:thinking: halafu hizi machine zinatukata stimu
  sijui kaziazisha nani ?
   
Loading...