Nianzie wapi kuacha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nianzie wapi kuacha?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Nov 9, 2010.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wadau sio kwamba sijui madhara yake,...najua sanaaaa!

  Nimeshauri watu na kuwafundisha madhara yake mara nyingi,ila mie nashindwa kuacha.
  ikitokea nimeacha basi ni week moja basi narudia ,....nipeni ujanja wa kuacha

  "KUJICHUA" sijui kama naeleweka maana kitendo hiki kina majina mengi sana!
  Kila napo maliza kujichua nahuzunika sana kwa kufanya hivo. :sad:
   
 2. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dawa yake mtafute mama Big tu, iyo yote inaisha .......... au wewe jinsia nyingine
  maana hapa ianbidi tuwekewe na jinsi za watu ............... ila mama Big anachukua
  wateja wote :peep:
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  wasiliana na huyu....
   

  Attached Files:

 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh............. mbona mnatuchanganya>?? wengine wanasema ni kwa afya hakuna madhara na ni salama kwa kuwa inakukinga na maradhi...............mtaalamu weye wasema ina madhara lol....... bora uwe na permanent source kama Bio nyakomba MJ1 hapa.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yes,inakinga maradhi ni kweli,lakini tatizo lake ni kwamba inafanya mishipa kuwa dhaifu kiasi kwamba unashindwa kisimama kwa mda mrefu au ukisimama unakua tepe tepe maana kujichua hakuhitaji uwe "hard" sana!
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahaha,i am a man mkuu
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmh,mwaya!

  Mi nafanya hivi sio kwa sababu sina mchumba au vipi ila naogopa "mdudu" na mimi ni kidume kabisaaaaa
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  thats exactly my point! mkikutana nyieeeee..... hiii kitu tamu bwana....
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante kwa maelezo.........ok
   
 10. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umesomeka bibie .............. salama au macho yangu ?! :smile:
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Madhara yapo ndugu tena makubwa. Epuka upweke, picha za ngono, kama una mpenzi jaribu kuwa nae karibu na kufanya nae mapenzi mara kwa mara. Hii itaondoa hisia za kujichua. La sivyo jiandae kwa UTI, kupungua nguvu ya kiume n.k
   
 12. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pole sana Kaka.
  Jitaidi kukamilisha mambo yako ili uoe huenda itakuwa ndo suluhisho lake. :violin:
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  acha uwoga
  sa utaish ivo mpk lin?
  ebu kuwa MAN tafuta demu wako bwna
  sa ukiendelea ivo utzaaje?mkono haubeb mimba kumbuka...we mbegu zote unamwagia kiganjan kiganja hakibeb mimba
  --kuwa makin+muombe mungu akusaidie kumpata aliyetulia then ufanye kweli na ili tatizo lako ltaisha bt kwa mwendo uo wa MPZ MKONO autaweza kuacha...
  POLE.
  MUOMBE MUNGU AKUPE UJASIRI NA AKUONYESHE EVA WAKO+MPIME B4 KU DO =KUACHA NYETO
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu,naomba nifafanulie UTI inatokana vipi na kujichua???
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante sis,ila am not single tatizo no distance tu kati yetu ndo inasababisha haya yote.
  Ila asante sana,i will take the "pray" advice
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmh,yeah itabidi nisubiri kuoa ila kabla ya kufika huko cha moto ntakua nimekiona
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimepata point yako mkuu,thanks
   
Loading...