Na sisi tunawapenda hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na sisi tunawapenda hawa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Nov 10, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wanawake/Mabinti wenye hela! Pesa! Mkwanja! Kisu! Mshiko! Ngoma droo
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmmh aya!
  lakin stak kuamini km unapenda wenzako wawe mamariooooooo
  -yap kutokana na mfumo wamaisha kuwa mgumu +fursa sawa kwa wote inatokea mabint/wanawake wanakuwa na mshiko wa ukweli
  -so wanaume wengne pia wanapenda utelezi wa maisha wanawafuata
  ---lakin wanaume wa ukweli hawawez wakakimbilia KUTUNZWA NA MWANAMKE KUTOKANA NA NATURE YA UANAUME...
  --laikn kwa wale macoward poa tu haiwasumbui ye akiona bima ya ukweli nje +income ya mdada kwa mwezi ni ml 2 kwenda mbele basi lazma ajiweke
  --ingawa sisemi haitokei kiukweli mwanaume maskin akampenda kwa dhat bnt tajir

  namalizia chai byeeeeeee
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Haina shida waite watakavyo sisi pia tunatumbukaaaaaaaaa
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ukimkuta mdada jeuri haaa utakoma..anajua umefata mapesa so atakunyanyasa wew mpk utakiona
  ..ukiamka piga dek,fua sidiria,kakate majan nje(wakat haus boy yupo)
  --kumshika kiuno usiku mpk akwambie
  --siku utaskia ahhh leo nataka nilale peke yangu so nenda kalale seblen
  --anachelewa kurud home kisa yupo kwenye madili anarud km saa 7 iv usiku
  --wanaume wengne wanakuja ndan kwenu tena kwa dharau wanaongea bla ata intro like ths z ma husband...
  HASARA NI NYING... tuachien wenyewe wanawake tufaidi i ofa ya kuwakimbilia wenye pesa....+na ivi tushazoea kunyanyaswa nao bas ahh raha tu tunafanya km nimojawapo kat ya mila na destur!!!!!!!1
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sawa baba ol da best ma dear!!!!!!!
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wala hawanyanyasi tena ndo wabembelezaji wakubwa usimwache wewe hapo unachohitaji ni kushughulikia ile kitu kisawasawa
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mmmm ulivyo nena hapo mpaka roho imeniuma kwa kweli! its just a challenge
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe una huruma.ur gud .kp t up
  nimegundua ilo
  siku njema kaka.
  (yap najua ni challenge,jokes just for kufuraishsa baraza cz iknw ata we mwenyewe haupend kulelewa)
   
 9. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii picha yako na hilo jicho vinanimalizaga !
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ninunulie miwani basi...plsssss naomba wewe ninunulie miwan jaman...
   
 11. F

  Ferds JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Equal rights 4 all au sio
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Pamoja mkuu beiging imeyaleta haya
   
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kiukwel kabisa mi na demu mwenye hela, hatuivani...
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hupendi hela wewe....!
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kila kukicha mambo yanazidi kupamba moto..lakini nyie si mliambiwa mtakula kwa jasho lenu
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sasa tunakula jasho lenu haki sawa kwa wote mambo yamepinduka kabisaaaaaaa
   
 17. T

  Tall JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mkuu rose, mbona avatar yako inatutia majaribuni?????
   
 18. T

  Tall JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hakuna tatizo iwapo mwanamke akiwa na peasa, ila anapaswa kujua kuwa pesa zake ni zake na zangu ni zake pia.
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sasa nifanyeje jaman?
  ninunulie mawani ili nifunike izo njicho!
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  kibweka kaka???sema naaaam
   
Loading...