MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 168
Jamani wana JF hasa katika safu hii, sasa niombe tu utaalamu wenu kuhusu yepi ya msingi sana katika kufanya ndoa iwe imara daima.
maana kuna yale ya chumbani, mitoko, mishiko na mavazi. sasa je ni lipi hasa kwa wanawake ili wasahau na kukuona ni wewe tu, akasahau wengine. na zaidi sana akawa anahitaji kila wakati mnakumbushia yale mambo yetu?
naombeni lipi la msingi na kwa namna gani ili akutamani siku zote