Why Abdallah!!!????

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,609
Likes
54
Points
145

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,609 54 145
Hivi hili neno Abdallah kichwa wazi lilitokana na nini na kwanini haikuwa athumani,juma,etc???
Na kwanini kulikuwa na wimbo " Athumani x 3... Mk......mpana"? kwa nini iswe rashidi au josefu
Hapo umefunga kopo lako kwenye mti umekazana kuimba

Na ule wa " Amina .. amina kadala...........Namuogopa Ally ana kijiti kinene...." Kwa nini Amina na Ally na siyo Juma na Asha:A S-alert1:
 

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
1,628
Likes
1
Points
0

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
1,628 1 0
subhana llah= ni neno la kumtanguliza allah kiupande wa mtu islam kwa mshangao alopata na kuanza kunza kumtanguliza allah,,,,,
mafrudh= ni neno la kiarabu,,,ambapo mimi nimeteleza kuliandika hapa kawa ajili nilikuwa sijui nini la swhili language lakini nishaletewa sms na rafiki yangu kuwa linamaanisha kwa kiswahili inatakikana au inatakiwa...
Hapo kwenye blue nieleweshe kwanza!!nitakuelimisha zaidi.Hata ukitaka kumwona huyo wanaye mtajataja maelezo yake yapo!
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
6,832
Likes
1,114
Points
280

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
6,832 1,114 280
Na kwanini kulikuwa na wimbo " Athumani x 3... Mk......mpana"? kwa nini iswe rashidi au josefu
Hapo umefunga kopo lako kwenye mti umekazana kuimba

Na ule wa " Amina .. amina kadala...........Namuogopa Ally ana kijiti kinene...." Kwa nini Amina na Ally na siyo Juma na Asha:A S-alert1:Huu wimbo ulikuwa ukiwaburudisha sana watoto wa mtaani kwetu mwanzoni mwa miaka ya 80.
 

Forum statistics

Threads 1,203,135
Members 456,618
Posts 28,100,933