it's a baby gal, thanks for the thoughts n prayers

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,244
1,195
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,476
1,225
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh

Jamani shishi am so happy for you my darling jamani Mwenyezi MUNGU akukuzie mpenzi.

Ila mh mnanitamanisha ninyi..............
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,739
2,000
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh

Wooooow!, hongera Shishi, sasa nawe ni mama fulani! :thumb:
 
hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,591
2,000
A baby girl…
one of the most beautiful miracles in life,
one of the greatest joys we can ever know,
and one of the reasons why
there is a little extra sunshine, laughter and happiness
in your world today.
 
Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
0
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh
Hongera sana..Mhh the APGAR SCORE IS QUITE IMPRESSIVE!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,263
2,000
Congratulations Shishi...I am so happy for both of you. 3 more to go :smile:
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,062
2,000
Congrats Shishi... Jah bless nina vijamaa (boys) vitatu, surely one of them will fancy your daughter
 
Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,118
1,195
Hongera Sana Shishi! Nawatakia Afya njema wewe na litle cute Angel Afya njema!
 
Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,039
1,195
015.jpg
Mungu awalinde na kuwapa baraka tele.
 
RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,894
2,000
Blessed Shishi......hongera sana....
nikifikiria jf miaka 20 ijayo...!
 
Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,269
2,000
Hongera sana Shishi,

Mungu amlinde baby wako na wape furaha katika familia yenu ambayo imenza rasmi safari ya kukua!

Naona mwenzi huu umekuwa wa mafuno sana kwa wana JF....Teamo, Pretty na sasa Shishi...very impressive!

DC
 
Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,276
2,000
safi sana shishi!

walau tutakao enda wizara ya ulinzi kuomba lesen ya umiliki wa ''AK-47'' tunaongezeka sasa.....!
 
kuberwa

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
568
250
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh

dah, Shishi ni noma! Dk 13 tu baada ya kushusha umeingia jamvini! Uchungu haukuuma hadi ukatoa nywele zote kichwani. Pole kwa incision na hongera. Naweka order hapo, nnae baby boy...
 
Kaizer

JF-Expert Member
Sep 16, 2008
25,284
2,000
jamanini, my little angel landed at 9.30am...scored 9/10. We are gud, maumivu tu from the incision.
Thanks alot for your prayers n thoughts.mbarikiwe hadi mshangae!mwahhhhhh

So impressive, hongera kwa kujali na kutujuza immediately...we are a family!
 
GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,280
1,170
Even more x-mass gifts for JF members......wish u and the baby a good start...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom