mwanalumango
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 232
- 279
nmmmmmmm
dah pole kwa mtihani kakangu
kuzaa tu paasipo ndoa pia utata kaka?i wsh nkusaidie ..sasa tatizo nikishazaa na wewe mtoto wa pili naye nizae na mwanaume mwngne?ahh icho ndo skitak......
Nahitaji mwanamke wa kuzaa naye. Nina mke lakini kwa bahati mbaya kwa majaaliwa ya Maanani hakujaaliwa kupata kizazi na baada ya kuhangaika kwa muda mrefu nchini na nje madaktari wametuambia kuwa si rahisi kuweza kuzaa kulingana na tatizo alilonalo. Baada ya kulitambua hilo, na kwayeye kuthamini juhudi zangu za kumshughulikie yeye kwa ghrama zote kote duniani na kushindikana hatimaye tumekubaliana kuwa nitafute mwanamke nizae naye. Si hitaji kuoa kwakuwa siwezi kuwa na wanawake wawili na siwezi kumwacha niliyenaye kwakuwa hastahili kuachwa. Niko tayari kumtunza mwanamke atakayekubali hilo kwa 100% kwa kila kitu chake na kizazi chake atakapojaaliwa kwakuwa uwezo upo, nia ipo na sababu ipo. Ningependa kuadopt pia lakini kama binadamu ningependa nione damu yangu pia kila mtu analifahamu hili. Ni maamuzimagumu kufanya lakini tumefanya pamoja. Aliyetayari juu ya hili twaweza wasiliana. Niko makini juu ya hili.
Mbona naona ngumu? Hapo mtoto atakua wa nani? maana wote wana ndoa zao,bora huyu mkewe karidhia vp upande wa pili? atafute wasioolewa walio tayari.Vuta subira..watakuja wanawake ambao waume zao ndio tatizo hivyo mtasaidiana tu.
Nahitaji mwanamke wa kuzaa naye. Nina mke lakini kwa bahati mbaya kwa majaaliwa ya Maanani hakujaaliwa kupata kizazi na baada ya kuhangaika kwa muda mrefu nchini na nje madaktari wametuambia kuwa si rahisi kuweza kuzaa kulingana na tatizo alilonalo. Baada ya kulitambua hilo, na kwayeye kuthamini juhudi zangu za kumshughulikie yeye kwa ghrama zote kote duniani na kushindikana hatimaye tumekubaliana kuwa nitafute mwanamke nizae naye. Si hitaji kuoa kwakuwa siwezi kuwa na wanawake wawili na siwezi kumwacha niliyenaye kwakuwa hastahili kuachwa. Niko tayari kumtunza mwanamke atakayekubali hilo kwa 100% kwa kila kitu chake na kizazi chake atakapojaaliwa kwakuwa uwezo upo, nia ipo na sababu ipo. Ningependa kuadopt pia lakini kama binadamu ningependa nione damu yangu pia kila mtu analifahamu hili. Ni maamuzimagumu kufanya lakini tumefanya pamoja. Aliyetayari juu ya hili twaweza wasiliana. Niko makini juu ya hili.
Je unasali kwa bidii? Lisilowezekana kwa wanadamu, linawezekana kwa Mungu. Usishangae madaktari wakasema mkeo hawezi kuzaa tena, lakini kwa uweza wa Mungu akazaa. Unaweza pia kuwashirikisha wengine katika maombi kama kina Rev. Masanilo.