simu ya mkononi

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
Jamani naomba kuuliza je nisahihi wapenzi/mke,mme kuchunguza cm ya mwenzie? Na vpi kwa yule ambae simu yake ni kama kipimajoto muda wote anayo hataki iguswe. Nawakilisha
 
Ni ushamba sana hasa kama unachunguza mpaka mwenyewe anajua kuwa cm.yake inachunguzwa ila kama umeshikia nyendo ambazo siyo nzuri tumia akili zaidi utamkamata na siyo kumkera mwenzako au msiwe na mipaka kabisa na cm.zenu wote wekeni wote mezani.
 
Tafuta thread za huko nyuma maana hii mada ilishazungumzwa sana
Nahisi utapata majibu ya kutosha:A S-alert1:
 
weken cm mezan
cm apana pass word
ikiita unaweza mwambia honey pokea sm mwambie naoga...................hahhha hahhaha km xmas haijawatokea pemben...wanaume wanawake wa siku iz simu tatu zikiingia basi moja itakuwa ya NYUMBA MBOVU....hatari!!!!
ukijiamini unakuwa huru na cm yako pia itakuwa huruuuuuuuuuuuuu kinyume na hapo ni cm kuwa kipima joto
asanten.nawasilisha.
 
mmmh!kweli kumekucha bibie.......!!!!
 
kibweka, c mbaya kama imejirudia, ndo maana somo la histori lipo mpaka leo, otherwise wangelitoa maana ni mambo yalopita kaka/dada. Changia tuu c mbaya lol
 
Sioni tatizo lolote lile as long as hakuna mabaya unayofanya kama yapo utakuwa mkali simu yako ikiguswa
 
weken cm mezan
cm apana pass word
ikiita unaweza mwambia honey pokea sm mwambie naoga...................hahhha hahhaha km xmas haijawatokea pemben...wanaume wanawake wa siku iz simu tatu zikiingia basi moja itakuwa ya nyumba mbovu....hatari!!!!
ukijiamini unakuwa huru na cm yako pia itakuwa huruuuuuuuuuuuuu kinyume na hapo ni cm kuwa kipima joto
asanten.nawasilisha.

hapo kwenye red rose nakubaliana na wewe, hapo kwenye blue wengi simu zao zikiguswa ni timbwili la hali ya juu
 
kibweka, c mbaya kama imejirudia, ndo maana somo la histori lipo mpaka leo, otherwise wangelitoa maana ni mambo yalopita kaka/dada. Changia tuu c mbaya lol

Nilikuwa nafeli sana hili somo
Labda ndo maana silipendi
 
Si sahihi kuchunguzana ila wapenzi wanatakiwa kuwa huru na simu zao.
Wanaume cku hizi hadi bafuni wanaenda na simu. Lol!
 
Swala hili ni makubaliano,baina ya watu wawili kwani hutakiwi kulazimisha kuchunguza simu ya mwenzio..

kama ukimuona hataki uichunguze cmu yake basi ujue si lazima awe na wapenzi nje,inawezekana anatafuta pesa kwa njia ambayo hapendi kila mtu hatakiwi kufahamu hasa kwa ninyi wanawake ni bora msijekufahamu nini kinaendelea maana mkibanwa nyie ni lazima mtataja tu.....
 
chunguza lakini uwe na kifua utakayoyakuta humo uyaache humo humo
 
Kuwa huru kwa kuepuka kuchunguza cm ya mwenzio. KUWA MUME NA MKE au WAPENZI haina maana kuwa MNASHEA KILA KITU. Vingine vitabaki kuwa siri ya kila mmoja...
 
Kuna jamaa,Mwanza alivizia mpaka akapata kusoma sms ktk simu ya mkewe,one sms ilikuwa inatoka kwa bwana wa mkewe ikimsifia mama watoto jinsi anavyojua kulawitiana.jamaa mwenye mke ata uo mchezo aujui,na ajawai ktk miaka 5 ya ndoa yao.ile ilimchanganya jamaa akaachana na mkewe,watoto ndo wanaoteseka.haya yote yasingelitokea kama baba asingesoma sms ktk simu ya wife
 
Back
Top Bottom