Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Is 'sex before marriage' the measure of love?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani wana MMU hapa mwenzenu yamenikuta kujifanya mkweli kwa kila jambo....Jana jioni mama karudi toka kwenye mihangaiko yake, kama kawa nikamhug kimahaba, tukakissiana kama, tukavutana kuelekea...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
leo katika pita pita yangu sehemu nimekutana na dada mmoja hakiwa na hali ya uzuni sana, nilipoongea naye kwa kina nikagundua BUNGE letu la jamuuri limekula kwake. yeye ana matatizo ya kizazi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Rihanna, 'whooping up her love for whips and chains.' Photograph: Rex Features Mara nyingi tunaamini ya kuwa wanaumme hutaka kuzamisha sana mkuki na huku akina dada hupendezewa na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaoamini katika kupangiwa mke. Lakini utakuta mtu anajiwekea vigezo katika elimu, umri, kabila na pengine rangi. Utasikia siwez kuoa mtu aliyeishia std 7 au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko...
2 Reactions
86 Replies
7K Views
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Nina 11yrs ktk ndoa ,pia ni mwl wa vijana nasonga mbele - amen, nakumbushia tu mapenzi kabla ya ndoa ni hatari na kuna maumivu mbelee, kuna suala la 'kutendwa'(ulaghai katk mapenzi) kila mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wanaume wengi hamfahamu nani anakupenda kweli au msichana gani hakudanganyi......tatizo ni nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekucha jamani, shime tukajiandalie pensheni zetu...fainali Uzeeni. Tunavyowapiga vikumbo wastaafu wa Jumuiya ya Africa mashariki, na hata wengine kuwadhihaki, ina maana hatukumbuki ipo siku...
26 Reactions
181 Replies
17K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/153715-wana-jf-tumsaidie-kijana-huyu.html Maxence atapokea michango yote ya wana Jamii Forum Na ata toa report baada ya kupokea michango ... ataweka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa wale tupendao cha mtu,especially mke au mume au wale njoo kwa muda nikuone...we unadandia kwa mbele unajua walitoka wap mpaka hapo ulipomwona wewe anakuvutia?.......mbona twapenda vya mbele.si...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habarini za asubuhi/mchana/jioni/usiku wana JF wenzangu. Unajua kunakitu nimekiwaza na kukifanya uchunguzi humu JF.Wengi wenu mnatumia fake ID kujitambulisha,sio mbaya kufanya hivo kutokana...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Nawasalimu wote! Naamini kwamba ni suala la kupendeza na la heshima kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kwa maisha ya kawaida ya binadamu, lakini pia ni suala la kawaida wapenzi kukosana...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Baby Weighing More Than One Stone Born In Texas A woman in Texas has given birth to a baby boy weighing 16lb, around twice the average weight of newborn babies in the UK The average weight...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
This is what our neighbouring Kenyans think. I wonder if this apply to Tanzanians as well. Often, the assertion that good men are scarce comes from women. But on the other side of the divide...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana JF!!! Baba mtu mzimaaa alikuwa anatembea na kabinti aged kama 18/19 hivi ni mwanafunzi wa QT na mbaya zaidi alikuwa anatumia kitanda anachotumia na mkewe wa ndoa. Huyu mzee alitumia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
katika story, bibi yangu kaniambia ili mwanamke akupende hakikisha mvuto haupotei nkauliza mvuto gani ? akasema sababu zote wanawake wanazotoa ni kukuzuga tu, LACK OF ATTRACTION will make a...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunaenda ICU! Baadhi ya Wanaume baada ya tendo la ndoa hujikuta hoi bin taabani. Na wanawake wengi hulalamika sana na hii tabia ambapo mwanaume akishamaliza tu hujikoka usingizi na kuanza...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Najua mtanicriticize ila ndo hivyo imetokea.... Habari zenu kwanza...poleni na hali ngumu ya maisha ndugu zanguni! To the point: Ni binti wa kidato cha tatu...kwa tabia na sifa na maumbile...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Back
Top Bottom