Kwa wanaoamini katika kupangiwa mke

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaoamini katika kupangiwa mke. Lakini utakuta mtu anajiwekea vigezo katika elimu, umri, kabila na pengine rangi. Utasikia siwez kuoa mtu aliyeishia std 7 au siwez kuoa au kuolewa na mtu wa kabila fulani. Sasa siyo kujipangia? Nawasilisha
 
Unataka kuniambia bado hujatambua tofauti kati ya watu wanapokupangia
na wewe unapojipangia? wewe waweza taka awe form four leaver while
walo kupangia Std 7, wewe waweza taka awe exposed wao aso kua exposed e t c..
Hivyo kuna tofauti...
 
ukitafutiwa mke mazee,hachelewi kulipa fadhila kwa aliyemuunganishia shauri yako we penda vya kuletewa tuu hahaaa
 
Mke wakupangiwa sidhani kama wengi wanaridhika nao,matokeo yake wanakua na vimada au ndio wansema kwanza wala sijakutaka kama sio wazee ungeula wa chua.lakini ukichagua mwenyewe inakua afadhali.
 
Back
Top Bottom