Comment zako zinaweza kusababisha haya..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Comment zako zinaweza kusababisha haya.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charger, Jul 11, 2011.

 1. charger

  charger JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Habarini za asubuhi/mchana/jioni/usiku wana JF wenzangu.

  Unajua kunakitu nimekiwaza na kukifanya uchunguzi humu JF.Wengi wenu mnatumia fake ID kujitambulisha,sio mbaya kufanya hivo kutokana nasababu zenu mnazozijua.Lakini nilichogundua tunachokificha ni real ID, sura ,lakini nafsi ipo wazi 100%.Hata kama hatukujui wala hutujui JF members but you can still feel something through other people's comment,je hujawahi ku feel hivi after receiving a kind of comment from a JOHN DOE wa JF?just be honest
  1.nervous
  2.tense
  3.anxious
  4.flustered
  5.insecure
  6.angry
  7.cross
  8.confused
  9.bored
  10.flat
  11.apathetic
  12.weak
  13.surprised
  14.uncomfortable
  15.lonely
  16.discontented
  17.foolish
  18.stupid
  19.awkward
  20.silly
  21.embarrassed
  22.low
  23.envious
  24.uneasy

  25.frustrated
  26.cross
  27.irritated
  28.annoyed
  29.furious
  30.livid
  31.enraged
  32.hurt
  33.inadequate
  34.trapped
  35.tired
  36.scared
  37.embarrassed
  38.used
  39.jealous
  40.overburdened
  41.put upon
  42.pissed-off
  43.miffed
  44.disgusted
  45.contempt
  46.aggrieved

  47.uneasy
  48.weak
  49.insecure
  50inadequate
  51.tense
  52.anxious
  53.nervous
  55.petrified
  56.threatened
  57.trapped
  58.used
  59.despairing
  60.miserable
  61.lonely
  62.shocked
  63.terrified
  64.ashamed

  65.pleased
  66.glad
  67.wonderful
  68.elated
  69.excited
  70.content
  71.surprised
  72.proud
  73.relieved
  74.satisfied
  75.confident
  76.hopeful
  77.peaceful
  78.comfortable
  79.calm
  80.relaxed
  81.warm
  82.overjoyed
  83.over the moon
  84.love
  85.grateful

  86.determined
  87.forgiving
  88.motivated
  89.daring
  90.energetic
  91.loving
  92.eager
  93.excited
  94.receptive
  95.happy
  96.caring
  97.confident
  98.assertive
  99.strong

  100.hurt
  101.upset
  102.miserable
  103.bereft
  104.despairing
  105.devastated
  106.lost
  107.down
  108.depressed
  109.low
  110.grief
  111.sad
  112.vital

  113.angry
  114.frustrated
  115.tearful
  116.hurt
  117.miserable
  118.weepy
  119.irritated
  120.shame

  121.inadequate
  122.cross
  123.miserable
  124.shocked
  125.mixed-up
  126.nervous
  127.discontented
  128.foolish
  129.stupid
  130.amazed
  131.baffled
  132.surprised

  Kama umewahi basi hujaficha nafsi.

  Ni hayo tu.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe umehamishia list yote ya maneno huku?!

  Yes to ANNOYED and BORED.
   
 3. charger

  charger JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ha ha haa na wasiwasi tunachat na mizimu humu yani we 24/7 upo online?
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na wewe ndio mwenyeketi wa hiyo mizimu ama?!
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Chager mbona huu msururu wamaneno yote umeyarudia mara nyingi?nini lengo la mada yako?Id?dhamira?
   
 6. charger

  charger JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Pole kaka kiiza kwa kukuacha hapo no.125 nia yangu ni kutaka kuona kama kuficha ID kunasaidia kweli
   
 7. charger

  charger JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kalale basi na wewe khaa!kwani hapo mizani kibaha hamnaga shift?
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  John Doe ndio nani?
   
 9. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  huwezi amini mimi, menyidyo, maralia sugu na invisible wakikoment hujisikii chochote kati ya hayo.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mkuu john doe ni mtu ambae hajulikani identity yake..
  hutumika sana marekani hili neno,sina uhakika na chanzo chake nafikiri alieanzisha hili jina aliitwa hivyo

  hutumika na poli na fbi hasa kwa watu waliokutwa mahututi kwenye ajali au milipuko na hata maiti

  anaitwa john doe mpaka atakapofahamika jina lake
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wapo watu nimejikuta nime fall in love kwa mazungumzo yao tu..
  na wapo watu ningeweza nigewapa ban ya maisha humu...
  na wengine nawaona waadilifu ingawa siwajui
   
 12. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  dah nimeshindwa kumalizia.
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndiye huyo. Kama Joe Bloggs.
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Unajua kwenye maisha huwezi pendwa na watu wote, mie huwa naweka sauti, yaani kila mtu kutokana na post zake, nahisi tu anayeandika na majazba huwa na sauti yake, mwenye mzaha huwa nina sauti yake, kuna wengine hadi nahisi kama wana vigugumizi, mi huwa naongea taratiiibu na watu wengi wananichukulia mpole kama hajanizoea, ila akinizoea lazima aniambie ww dada unaonekana mpole sana kumbe unaongeaga??
   
 15. charger

  charger JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Kweli nyie kiboko mmeficha mpaka nafsi,ngoja nijaribu kuamini
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha loohhh
  Umenipa raha kweli kweli...
  Hiyo list duhhhh
   
 17. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ngoja nitafute pahala alipopost nione ntakavojickia nikishasoma post yake!
   
 18. charger

  charger JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duh gaga ungetupa kamfano kama hapo kwenye kigugumizi ingekuwa poa kweli.
   
 19. charger

  charger JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Alipopost nani mkuu?
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo umenena, nowdays najitahidi sana kuwa makini ktk coments zangu, huwa inaniuma sana pale nimkwazapo member wa humu jf. wakati mwingine twafanya mambo pasipo kujua, huwa tunakuwa irrational. Kikubwa ni kusameheana na wewe uliyecoment yakupaswa uhandle situation isije kukudhuru! Thanx kwa thread nzuri, yenye ukweli mkuu!
   
Loading...