Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time...
Ni kwanini unapomuhitaji mtu kwa siku za husoni unakuwa karibu sana na yeye then baada ya muda unaanza kuwa bize?
Mara unaanza kuwa bize,simu zake hupokei,visingizio...
Hii Wana JF,
I have a serious problem affecting my life and my marriage. It was in 2008 when i met a College girl, and as we met she was trying so much to attract my eyes to fall in love with...
Ni kawaida sana mwanaume anapoku tayari kuwa na mwenza kutangaza nia! Dada mwenye sifa zifuatazo atapokelewa kwa moyo mkunjufu; black beuty au rangi ya chocolate, age 20-22, mwenye maadili ya...
we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka...
Wadau usiku huu nipo alone, mamsap kasafiri wiki ya tatu sasa, usingizi shida mno sababu ni mtu wangu wa karibu mnoo kweli nina mmiss vilivyo.
Ukiwa peke yako mawazo na kumbukumbu nyingi...
Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya...
mimi ni mdada nina miaka 29 ninatafuta rafiki wa kiume mwenye sifa zifuatazo.
1 miaka 33-37
2maisha ya kueleweka
3 awe mkristo na awe na hofu ya MUNGU
4awe mrefu kiasi na mweusi
5 awe na afya...
Naomi baby! Mitaa ya SEKEI Arachuga hiyo 1999 mwezi wa saba nilikuwa pande hizo. Nlikuwa kwenye ki shop cha cosmetics cha bro wangu! Naomi alikuwa anapita hapo kila asubuhi ananisalimia bila...
A store that sells husbands has just opened, where a woman may go to choose a husband. Among the instructions at the entrance is a description of how the store operates. You may visit the store...
Nimeusikia mchana huu utafiti huu kuwa katika nchi tatu zilizoasisi east africa community yaani Tanzania,Kenya,na Uganda,ni kuwa Waganda ndo wanaongoza kwa kukutana kimwili mara nyingi zaidi kwa...
A wife is accused of cutting off the penis of her estranged husband. She was arrested late last night after investigators responded to a 911 call and is now in custody at the Orange County Jail...
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi...
Eti jamani, ni kweli kwamba kuolewa ni heshima........na kama kweli how and why?
Kwa sababu siku hizi mabinti wanaolewa hata na wanaume wasiowapenda wakiitafuta hiyo 'heshima'
Watu wamekuwa fake...
Hivi ni kweli kwamba ukimuumiza mtu ni lazima na wewe uje kuumizwa? Ikiwa ni kweli vipi huyu anayekuumiza, inawezekana analipa yale uliyoyafanya zamani? Ikiwa ni hivyo, inawezekana muumizaji asiwe...
Hi marafiki, wanajamii wenzangu, siwezi amini miaka inavokatika, nikiangalia naona kama ni juzijuzi tu, sijui wakati umeenda wapi, all in all namshukuru Mwenyezi Mungu sana sana kwani leo ni...
Jana baada ya kutoka kibaruani_kama kawaida nikakuta mgao wa umeme umeng'ang'ana,nikaona isiwe taabu acha niende bar ya jiran na ghetto nikapoteze muda hapo na marafiki zangu mpaka saa...
Robber who broke into hair salon is beaten by its black-belt owner and kept as a sex slave for three days... fed only Viagra
A Russian man who tried to rob a hair salon ended up as the victim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.